#COVID19 Wizara ya Afya: Hadi Agosti 7, 2021, watu 105,745 walikuwa wamepatiwa chanjo ya UVIKO-19

Kwa hiyo mpaka sasa tuna mazombi zaidi ya laki moja ? Yameshaanza kula nyama za watu?
 
Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?

Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.

La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.

Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.

Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.

Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
nami pia ntakuwa wa mwisho kuchanjwa

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kumbuka hapa ni for selected centers tu.

Hivyo zikiwepo chanjo za kutosha maana yake vituo vitaongezeka,idadi pia itakuwa kubwa.

Haitahitaji mwezi kuchanja watu milioni 30.
Hana anachojua huyo mwana sayansi.
 
South Afrika walianza chanjo January 2021, hadi sasa wamechanja watu 3.5m ama 5.7% ya population.

South Afrika hatupishani population. Pia kumbuka south wnaa miundombinu bora zaidi ya Tanzania.

Sasa kama south kwa miezi 7 wamechanja 5% ya watu wao, itahitajika miezi mingapi kuchanja 50% ya watu wao? Kwa hesabu za haraka itahitajika miezi 70 kuchanja nusu ya population yao, miezi 70 ni miaka 5.8 ama 6. Hapo tunachukulia hakuna watu wanaozaliwa aala kuongezeka ila watakua wanakufa.

Jambo lingine South hawana hii anti-vax sentiment kama iliyopo Tanzania.

Shughuli bado ni kubwa
Mwenzio anazungumzia centers wewe unakuja na habari zako za kujifurahisha, mwanasayansi wa wapi wewe!.
 
Itaongezeka kutoka wapi?

Kwa taarifa yako sasa waliochanja ni wale waliokua wanaisubiri na wenye shida ya chanjo toka mwaka jana ila baada ya hapo usitegemee idadi kuongezeka.

Halafu, analysis unaifanya kwa trend, sio kwa kuhisia, kutumainia ama kuombea. Mimi nimeangalia trend ya figures kwa siku 11 nikatoa tathmini yangu, wewe hiyo yako ya kutegemea idadi itaongezeka umeitoa wapi?

Nimeandika simple lakini scientific, weww nipe hiyo scientific projection yako kwa hizo namba na usitumia hisia
Unatumiaje namba ambazo zinaweza kubadilika wakati wowote, hiyo sio kama unavyosema moja na moja ni mbili na dunia nzima inajua hivyo, idadi ya watu wanaopata chanjo ya Corona inaweza kuongezeka wakati wowote, fact ndogo tu but huielewi.
 
Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?

Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.

La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.

Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.

Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.

Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Rekebisha takwimu zako wanaochanjwa ni miaka 18 na kuendelea

Na pia chanjo ya Jensen haina booster shot

Mengine wacha tusikilizie kwanza waliotangulia😂😂

Mimi binafsi nishajitoa muhanga nimechanja wengine tulieni muangalie tukiwa mazombie mkimbie msichanje. Manaaake mazungu majanja janja sana
 
Mkuu nikifanya marekebisho kwenye takwimu nikaweka na vijana wa 18, hapo watahaohitajika kuchwanjwa watafika 40m, watoto, under 18 wako karibu 20m jumla tutakua 60m.

Lakini pia mkuu kampuni zote za chanjo zinatazamiwa kutoa booster shot ikiwemo J&J.

Unatumiaje namba ambazo zinaweza kubadilika wakati wowote, hiyo sio kama unavyosema moja na moja ni mbili na dunia nzima inajua hivyo, idadi ya watu wanaopata chanjo ya Corona inaweza kuongezeka wakati wowote, fact ndogo tu but huielewi.
Inaweza kuongezeka kutokana na nini, hiyo fact yako basis yake iko wapi?
 
Mwanzo mzuri, ndugu zangu tuchanje tuacheni imani potofu
 
Wanasema kabla ya kuchanjwa unatakiwa kupimwa kwanza kama una maambukizi au la!! Wataalamu mnalizungumziaje hili? Kama ni kweli je hao wote waliopata chanjo walipimwa?
 
Mbona tunalazimishana hzi chanjo?
Basi iwe hivi, km unataka chanjo, ukishakuwa chanja ww ndye ujikinge na ambao hawajachanja!

Kwani hukulazimishwa kuchanjwa Bali Ni hiari yako.
Iwe km matumizi ya condomu, iwe Ni hiari ya mtumiaji.

Hii dunia Ni yetu sote.Tusianze kuwekeana masharti magumu ya kuishi wakati kila mtu ana haki ya kuishi.

Umechanja, fine.hujachanja fine
 
Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?

Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.

La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.

Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.

Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.

Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Poor planning, tunataka kuonyesha dunia kuwa nasisi tuna chanja, ndio maana kila mtu anakuja na takwimu zake, lakini hawasemi chanjo hizo ni kweli zinazuia? kama ndio kwa nini maambuki mapya USA yaibuke tena na kuanza kudai booster?
 
You seem so concerned! Why is that so? [emoji3][emoji3]

How much were you paid to get the job done?

But you know what.... this time round you will be fucked in the ass by the bosses who pay you.

Watu wamegoma kudungwa michanjo ya kuokota kutoka ulaya!

Yaani wewe umetoka tu huko ulaya na lifurushi lako la machanjo unakimbilia kudunga watu! THUBUTUU! [emoji3][emoji818]

You have two choices: YOU either DRINK THOSE SHIT VACCINES TO DEATH or GET FUCKEDD IN THE ASS.
Kuna wakati wajinga kama wewe walikuwa wanakuwa banned katika hili jukwaa. Lakini inaelekea sasa hivi lunatics mmeachiwa mtawale asylum. Ni watu kama nyinyi ndio mmepunguza credibility ya hili jukwaa na kuligeuza sehemu ya watoto wajinga kama wewe kuligeuza uwanja wa matusi.
You are beyond contempt.

Amandla...
 
South Afrika walianza chanjo January 2021, hadi sasa wamechanja watu 3.5m ama 5.7% ya population.

South Afrika hatupishani population. Pia kumbuka south wnaa miundombinu bora zaidi ya Tanzania.

Sasa kama south kwa miezi 7 wamechanja 5% ya watu wao, itahitajika miezi mingapi kuchanja 50% ya watu wao? Kwa hesabu za haraka itahitajika miezi 70 kuchanja nusu ya population yao, miezi 70 ni miaka 5.8 ama 6. Hapo tunachukulia hakuna watu wanaozaliwa aala kuongezeka ila watakua wanakufa.

Jambo lingine South hawana hii anti-vax sentiment kama iliyopo Tanzania.

Shughuli bado ni kubwa
Unawaza nini mzee? Mbona vitu ni rahisi pia.

Ni factors zipi unatumia?

Changamoto kubwa ni utayari wa watu kuchanjwa na uwepo wa chanjo.

Miundombinu haina shida. Hata wiki tu tunaweza chanja 30m+.
 
SAFI SANA TUNATAMANI WATU KAMA NYIE NDO MNAUPIGA MWINGI

Back
Top Bottom