Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nami pia ntakuwa wa mwisho kuchanjwaUandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Hana anachojua huyo mwana sayansi.Mkuu kumbuka hapa ni for selected centers tu.
Hivyo zikiwepo chanjo za kutosha maana yake vituo vitaongezeka,idadi pia itakuwa kubwa.
Haitahitaji mwezi kuchanja watu milioni 30.
Mwenzio anazungumzia centers wewe unakuja na habari zako za kujifurahisha, mwanasayansi wa wapi wewe!.South Afrika walianza chanjo January 2021, hadi sasa wamechanja watu 3.5m ama 5.7% ya population.
South Afrika hatupishani population. Pia kumbuka south wnaa miundombinu bora zaidi ya Tanzania.
Sasa kama south kwa miezi 7 wamechanja 5% ya watu wao, itahitajika miezi mingapi kuchanja 50% ya watu wao? Kwa hesabu za haraka itahitajika miezi 70 kuchanja nusu ya population yao, miezi 70 ni miaka 5.8 ama 6. Hapo tunachukulia hakuna watu wanaozaliwa aala kuongezeka ila watakua wanakufa.
Jambo lingine South hawana hii anti-vax sentiment kama iliyopo Tanzania.
Shughuli bado ni kubwa
Unatumiaje namba ambazo zinaweza kubadilika wakati wowote, hiyo sio kama unavyosema moja na moja ni mbili na dunia nzima inajua hivyo, idadi ya watu wanaopata chanjo ya Corona inaweza kuongezeka wakati wowote, fact ndogo tu but huielewi.Itaongezeka kutoka wapi?
Kwa taarifa yako sasa waliochanja ni wale waliokua wanaisubiri na wenye shida ya chanjo toka mwaka jana ila baada ya hapo usitegemee idadi kuongezeka.
Halafu, analysis unaifanya kwa trend, sio kwa kuhisia, kutumainia ama kuombea. Mimi nimeangalia trend ya figures kwa siku 11 nikatoa tathmini yangu, wewe hiyo yako ya kutegemea idadi itaongezeka umeitoa wapi?
Nimeandika simple lakini scientific, weww nipe hiyo scientific projection yako kwa hizo namba na usitumia hisia
Ok tutaona kama sasa hakupikwi tena data.Yule mpika data alikwishaondoka. Alikuwa anaitwa mwendazake.
Rekebisha takwimu zako wanaochanjwa ni miaka 18 na kuendeleaUandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Mkuu laki 2 inatosha kukupa Cheti original kabisa!Ha ha ha. Wakileta ujinga wa ulazima wa chanjo ninampa milioni mbili tatu daktari na cheti napata Ila kuchanjwa nevaaaa
Mkuu nikifanya marekebisho kwenye takwimu nikaweka na vijana wa 18, hapo watahaohitajika kuchwanjwa watafika 40m, watoto, under 18 wako karibu 20m jumla tutakua 60m.Rekebisha takwimu zako wanaochanjwa ni miaka 18 na kuendelea
Na pia chanjo ya Jensen haina booster shot
Mengine wacha tusikilizie kwanza waliotangulia😂😂
Mimi binafsi nishajitoa muhanga nimechanja wengine tulieni muangalie tukiwa mazombie mkimbie msichanje. Manaaake mazungu majanja janja sana
Inaweza kuongezeka kutokana na nini, hiyo fact yako basis yake iko wapi?Unatumiaje namba ambazo zinaweza kubadilika wakati wowote, hiyo sio kama unavyosema moja na moja ni mbili na dunia nzima inajua hivyo, idadi ya watu wanaopata chanjo ya Corona inaweza kuongezeka wakati wowote, fact ndogo tu but huielewi.
Mbona hawatoi takwimu wagonjwa wa korona?
Poor planning, tunataka kuonyesha dunia kuwa nasisi tuna chanja, ndio maana kila mtu anakuja na takwimu zake, lakini hawasemi chanjo hizo ni kweli zinazuia? kama ndio kwa nini maambuki mapya USA yaibuke tena na kuanza kudai booster?Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Kuna wakati wajinga kama wewe walikuwa wanakuwa banned katika hili jukwaa. Lakini inaelekea sasa hivi lunatics mmeachiwa mtawale asylum. Ni watu kama nyinyi ndio mmepunguza credibility ya hili jukwaa na kuligeuza sehemu ya watoto wajinga kama wewe kuligeuza uwanja wa matusi.You seem so concerned! Why is that so? [emoji3][emoji3]
How much were you paid to get the job done?
But you know what.... this time round you will be fucked in the ass by the bosses who pay you.
Watu wamegoma kudungwa michanjo ya kuokota kutoka ulaya!
Yaani wewe umetoka tu huko ulaya na lifurushi lako la machanjo unakimbilia kudunga watu! THUBUTUU! [emoji3][emoji818]
You have two choices: YOU either DRINK THOSE SHIT VACCINES TO DEATH or GET FUCKEDD IN THE ASS.
Unawaza nini mzee? Mbona vitu ni rahisi pia.South Afrika walianza chanjo January 2021, hadi sasa wamechanja watu 3.5m ama 5.7% ya population.
South Afrika hatupishani population. Pia kumbuka south wnaa miundombinu bora zaidi ya Tanzania.
Sasa kama south kwa miezi 7 wamechanja 5% ya watu wao, itahitajika miezi mingapi kuchanja 50% ya watu wao? Kwa hesabu za haraka itahitajika miezi 70 kuchanja nusu ya population yao, miezi 70 ni miaka 5.8 ama 6. Hapo tunachukulia hakuna watu wanaozaliwa aala kuongezeka ila watakua wanakufa.
Jambo lingine South hawana hii anti-vax sentiment kama iliyopo Tanzania.
Shughuli bado ni kubwa
Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Hata waliochanjwa feki wanahesabika Kama yule afisa elimu?