Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Nami tayari nimechanja. Safi sana. Tuendelee kuwapuuza wanaopinga zoezi hili mhimu. Pia tunaishauri wizara iendelee kusogeza huduma hii kwa wananchi hasa wazee ambao hawawezi kusafiri mwendo mrefu.
Naona mwenyewe, naamini waliochanja ni wengi zaidi ya hao.Siku hizi hawapiki tena data au hizi data zinafurahisha?
Mtuletee na data za vipimo ni wangapi Positive na Negative.
😆😆😆😆 ndugu zangu ni pamoja na wewe. Watanzania woote ni ndugu zangu na Afrika ni moja!!Wakusanye ndugu zako mkachanjwe
Sema wewe ndiye hujielewi siyo dunia. Dunia imeshagundua chanjo kadhaa na iko kwemye hatua ya kuchanja watu na kulegeza masharti ya kujikinga na Corona.Umeandika vizuri sana...[emoji1666]
Dunia mpaka sasa haijielewi kwenye COVID-19.
Kuamini tu unaweza kuamini vyovyote vile utakavyo.Naona mwenyewe, naamini waliochanja ni wengi zaidi ya hao.
Sasa hapo ndio penye kazi kubwa.Du! Kwa hiyo Kuna approximately chanjo 900,000 zimebaki hadi sasa! Na siku zinavyoenda mwitikio unapungua, mzigo utaisha kweli?
Mikoa ya kipaumbele ni 10Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Umeandika kama vile hiyo idadi ya wanaochanja haiwezi kuongezeka, nani alikwambia wanaochanja idadi yao itabaki kama ilivyo forever?Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Yes, ukiamua kuamini ujinga is your choice too, all the best utafufuliwa na Gwajima usijali.Kuamini tu unaweza kuamini vyovyote vile utakavyo.
Itaongezeka kutoka wapi?Umeandika kama vile hiyo idadi ya wanaochanja haiwezi kuongezeka, nani alikwambia wanaochanja idadi yao itabaki kama ilivyo forever?
Sasa hivi wengi wanaochanjwa ni wale wa makundi maalum, watakaporuhusiwa kuchanjwa wote bila kubagua hiyo idadi itaongezeka.
Mkuu kumbuka hapa ni for selected centers tu.Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Yule mpika data alikwishaondoka. Alikuwa anaitwa mwendazake.Siku hizi hawapiki tena data au hizi data zinafurahisha?
Acha sound wewe.... Hapo ukute hata buku huna.[emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha. Wakileta ujinga wa ulazima wa chanjo ninampa milioni mbili tatu daktari na cheti napata Ila kuchanjwa nevaaaa
South Afrika walianza chanjo January 2021, hadi sasa wamechanja watu 3.5m ama 5.7% ya population.Mkuu kumbuka hapa ni for selected centers tu.
Hivyo zikiwepo chanjo za kutosha maana yake vituo vitaongezeka,idadi pia itakuwa kubwa.
Haitahitaji mwezi kuchanja watu milioni 30.
Wahi mkuu uchanje kabla hazijaadimika,DALALI WA CHANJO ON THE BEAT.