Wizara ya Afya: Hakuna tishio la UVIKO-19, likiwepo tutatoa taarifa

Wizara ya Afya: Hakuna tishio la UVIKO-19, likiwepo tutatoa taarifa

Taarifa za misiba kila siku zimeongezeka sana, hili pekee linatosha kuwafanya watu wachukue tahadhari hakuna haja kuisubiri serikali ambayo imeshatuambia hakuna Covid Tanzania.
 
Yaani wanaume mjitahidi kweli kweli kutunza afya zenu haiwezekani ununue matunda ushindwe kula usubiri mwanamke akuletee mezani au house girl yataendelea kuishia jikoni huko huko ona wazee wa vijijini wakichuma matunda mtini wanakula hapo hapo kwa raha zao kwa faida ya afya zao Sasa vijana wa mjini mbadilike.
 
Hongera wananchi kwa kuipuuza serikali , maana jana nimeingia Kariakoo kila mdau amejisitiri kwa barakoa
 
Anaongea akiwa ameshiba kodi za wananchi atunze hayo maneno yake.
 
Simshangai Mollel kwani toka anasoma kuwa daktari wa kinywa na meno a.k.a DDS hii ndio ilikuwa hulka yake. Watanzania muwe macho.
 
Ambae hataki kukubali kama Corona ipo huyo atakuwa na matatizo kichwani

UK, USA, Belgium, Kenya, Uganda, Zimbabwe, South Africa etc wanataabika na sisi mipaka yetu yote ipo wazi na unaweza kuingia na kutoka bila kuonyesha cheti chochote hata cha kufoji.

Harafu bado viongozi wanaibuka hadharani na kusema “hakuna tishio la corona”? Are we serious? Tishio lipo kubwa
 
Mbona tushakubaliana tutafuata maelekezo ya kanisa na sio maelekezo ya wanasiasa
 
Back
Top Bottom