Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Yote yatajulikanaMdogo mdogo tumeanza kuelewana, mbona heicher hazijazungumziwa all in all Mungu ni mwema kila wakati!
Pumbavu zao hao..
... magari binafsi yapi? Noah au? Maana hata madaladala yaliyopo hayatoshi.Si waruhusu magari binafsi yapewe vibali vya kusafirisha abiria. Hawaoni kuwa mwendokasi haitatosha. Au wanataka mpaka watu waanze kufa vituoni nchi ipate aibu kimataifa... Latra ruhusuni magari binafsi.
... mwandishi wa barua ni DART; anazungumzia kilicho ndani ya mamlaka yake kiutendaji; daladala (Either) sio mamlaka yake! Ndio maana tunasema for proper enforcement, inatakiwa hii kitu (Corona) lead itoke from higher authorities badala ya hizi rejareja ambazo hazitamaliza tatizo.Mdogo mdogo tumeanza kuelewana, mbona heicher hazijazungumziwa all in all Mungu ni mwema kila wakati!
... hilo ni pigo la ngapi Mkuu? Nakumbuka Farao alitekeleza agizo la Mungu kupitia mjumbe wake Musa baada ya wa nyumbani kwake kuanza kutafunwa. Mapigo mengine yote alishupaza shingo lakini walipoanza "kuliwa" wazaliwa wa kwanza wakiwemo wanae na wanyama wake, pozi lilimwishia.Farao ameanza kuelewa lakini asichokijua ni kwamba bado kuna mapigo mengi sana mpaka akiri kwa kinywa chake bila shuruti kuwa Corona ipo kwa wingi sana na ni tatizo kubwa sana!