Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la Mafua makali ya influenza na UVIKO 19 nchini Tanzania

Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la Mafua makali ya influenza na UVIKO 19 nchini Tanzania

Kumbe Wizara ya Afya na waziri wao Mohamed Mchengerwa ni wahuni?

Ukute wamekubaliana na bosi wao kwenye kufanya huo uhuni
Magufuli aliwaharibu akili zenu..mmekuwa mazwazwa wakupinga kila kitu kuhsu maradhi ya kuambukiza na tafiti za kisayansi
 
Nyie wahuni nawaonya .
Acheni kutaka pesa za misaada kwa kisingizio cha COVID-19.
Rais Samia washauri kama hawa wanaoshauri kutengeneza movie za kijinga wafukuze kazi na ikiwezekana wapigwe mawe national stadium
Kwani hao wahuni nani kawachagua..??? Si huyo Muhuni Mkuu Samuya ndio kawachagua...?? Ina maana Mkwe Mchengerwa ni Muhuni.....???? Daah
 
UVIKO 19 umeshakuwa ugonjwa wa kawaida wa kuishi nao.

Asante kwa taarifa, watu tuchukue tahadhari.

View attachment 3548399
Akili yangu ndogo inanambia hakuna ugonjwa wala nini. Ni kupotezwa maboya ili muache kuongelea na kufikiria vitu Fulani, muwe bize na mibarakoa na misanitaiser mkihofia maisha yenu.

Kama una D mbili utakua umenielewa.
 
Mkuu hawa wanao comments kuwa wameshuhudia majirani wakumwa na wengne kufa, na wengi ni anti ccm unawazungumziaje?
 
Mkuu hawa wanao comments kuwa wameshuhudia majirani wakumwa na wengne kufa, na wengi ni anti ccm unawazungumziaje?
Hata mimi nimeumwa na nimepona. Nyungu zitapigwa, my point wasitutoe kwenye reli, tusije Anza kuleteana sympathy alaf tukakuta ghafla ni 2029 Oct na Tanganyika yetu haieleweki Bado.
 
Back
Top Bottom