Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Magufuli aliwaharibu akili zenu..mmekuwa mazwazwa wakupinga kila kitu kuhsu maradhi ya kuambukiza na tafiti za kisayansiKumbe Wizara ya Afya na waziri wao Mohamed Mchengerwa ni wahuni?
Ukute wamekubaliana na bosi wao kwenye kufanya huo uhuni
Ni wapi nimepinga?Magufuli aliwaharibu akili zenu..mmekuwa mazwazwa wakupinga kila kitu kuhsu maradhi ya kuambukiza na tafiti za kisayansi
Ahsante,Dah,
Pole sana
Mkuu uko mkoa Gani ?Huku nilipo ni hatari🙌, Kila nyumba,mmoja kafa mafua kichwa kuamka asubuhi kafa,
Hapa nateseka nayo week Sasa🙌
Kwani hao wahuni nani kawachagua..??? Si huyo Muhuni Mkuu Samuya ndio kawachagua...?? Ina maana Mkwe Mchengerwa ni Muhuni.....???? DaahNyie wahuni nawaonya .
Acheni kutaka pesa za misaada kwa kisingizio cha COVID-19.
Rais Samia washauri kama hawa wanaoshauri kutengeneza movie za kijinga wafukuze kazi na ikiwezekana wapigwe mawe national stadium
Kuna kitu kinapikwa hapa....Tupongeze serikali Kwa kutoka taarifa mapema ili watu waweze kujikinga
Kuna jitu linaondolewa soon duniani ili ku-justify jitu limekufa kwa Uviko.....Si uliona lilivyokondeana..khaaaHuku nilipo ni hatari🙌, Kila nyumba,mmoja kafa mafua kichwa kuamka asubuhi kafa,
Hapa nateseka nayo week Sasa🙌
Akili yangu ndogo inanambia hakuna ugonjwa wala nini. Ni kupotezwa maboya ili muache kuongelea na kufikiria vitu Fulani, muwe bize na mibarakoa na misanitaiser mkihofia maisha yenu.UVIKO 19 umeshakuwa ugonjwa wa kawaida wa kuishi nao.
Asante kwa taarifa, watu tuchukue tahadhari.
View attachment 3548399
Mkuu hawa wanao comments kuwa wameshuhudia majirani wakumwa na wengne kufa, na wengi ni anti ccm unawazungumziaje?Akili yangu ndogo inanambia hakuna ugonjwa wala nini. Ni kupotezwa maboya ili muache kuongelea na kufikiria vitu Fulani, muwe bize na mibarakoa na misanitaiser mkihofia maisha yenu.
Kama una D mbili utakua umenielewa.
Hata mimi nimeumwa na nimepona. Nyungu zitapigwa, my point wasitutoe kwenye reli, tusije Anza kuleteana sympathy alaf tukakuta ghafla ni 2029 Oct na Tanganyika yetu haieleweki Bado.Mkuu hawa wanao comments kuwa wameshuhudia majirani wakumwa na wengne kufa, na wengi ni anti ccm unawazungumziaje?
Ndio nin hapa jijini daslamu?Uviko ipo wakuu
UgonjwaNdio nin hapa jijini daslamu?
Ugonjwa unaohusu nin hasa mwana lumumbaUgonjwa