Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la Mafua makali ya influenza na UVIKO 19 nchini Tanzania

Nyie wahuni nawaonya .
Acheni kutaka pesa za misaada kwa kisingizio cha COVID-19.
Rais Samia washauri kama hawa wanaoshauri kutengeneza movie za kijinga wafukuze kazi na ikiwezekana wapigwe mawe national stadium
Mkuu hayo mafua makali na homa vimepiga sana familia yetu.
Hiyo siyo upigaji.
Futa kweli lipo jijini Dar.
 
Lisemwalo lipo. Tuchukue tahadhari wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…