UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Na sio wasiokuwa na chanjo tu bali ni chanjo gani umechanja?Ni hiari Mkuu lakini siku za usoni baadhi ya nchi zinaweza kuweka kikwazo cha wale wasio na chanjo kuingia nchini mwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sio wasiokuwa na chanjo tu bali ni chanjo gani umechanja?Ni hiari Mkuu lakini siku za usoni baadhi ya nchi zinaweza kuweka kikwazo cha wale wasio na chanjo kuingia nchini mwao.
Gonga utupe majibu kwanzasijajua kama nigonge chanjo au vipi
Tutaelewana tu huko mbele ya safari. Kwa ujinga wa hii mijamaa kama jingine hili Countrywide huwa hata hayakumbuki lini yaliwahi kusema nini.Ni hiari Mkuu lakini siku za usoni baadhi ya nchi zinaweza kuweka kikwazo cha wale wasio na chanjo kuingia nchini mwao.
Kinga ya Madagascar imefanyiwa utafiti na jopo la wataalamu (maprofesa na madokta) ambao ni vipanga kweli kweli kwa kipindi cha zaidi ya mwaka sasa.Hautaki ile ya India?
Ile miziziology ya madagascar ilishapatikana active ingredients, vipi efficacy yake........au data zake zipo kwenye kabrasha la mzee wa jalalani...Kinga ya Madagascar imefanyiwa utafiti na jopo la wataalamu (maprofesa na madokta) ambao ni vipanga kweli kweli kwa kipindi cha zaidi ya mwaka sasa, tena ilifuatwa kwa ndege ya Rais na tuliambiwa kule Madagascar inatolewa na Rais peke yake...aliyeileta aliinywa na mpaka leo anadunda hajapata athari yoyote☺️
Hujalazimishwa chomaYeye amechoma huyo aliyejikuta kawa mkuu wa nchi amechoma wanzane kwanza wao
mashuleni watoto wavae barakoa upumbavu mtupu
Kwahiyo ya India hauitaki?Kinga ya Madagascar imefanyiwa utafiti na jopo la wataalamu (maprofesa na madokta) ambao ni vipanga kweli kweli kwa kipindi cha zaidi ya mwaka sasa, tena ilifuatwa kwa ndege ya Rais na tuliambiwa kule Madagascar inatolewa na Rais peke yake...aliyeileta aliinywa na mpaka leo anadunda hajapata athari yoyote☺️
Tena hapo chato na lumumba tunawadunga sindano za utosini ili chanjo ziwaingie kweri-kweri.Msiilete chato
Ndio aweke hizo data wazi kama inafaa tutumie vinginevyo walikuwa wanafuja hela za walipa kodi, hiyo kamati ilifanya utafiti kuanzia lini mpaka lini na nini matokeo ya tafiti yao. Hata kama zimefeli tuna haki ya kuambiwa.Ile miziziology ya madagascar ilishapatikana active ingredients, vipi efficacy yake........au data zake zipo kwenye kabrasha la mzee wa jalalani...
Ya India sina shida nayo ila ningependelea kuwe na options nyingi, tuliingia gharama kubwa kuifuata huko Madagascar kwa hiyo ni haki yetu kupatiwa pia.Kwahiyo ya India hauitaki?
Gharama kubwa gani iliyotumika ni hiyo ndege?Ya India sina shida nayo ila ningependelea kuwe na options nyingi, tuliingia gharama kubwa kuifuata huko Madagascar kwa hiyo ni haki yetu kupatiwa pia...
Ni jukum la serikali kabla ya kununua iwaulize watz wangp wanahitaji chanjo,hiv ni lazma utukane mbona mdomo wako mchafu kiasi hicho wewe unasehemu ya kutolea aja kubwa kweli au watumia mdomo?Wewe ni kijana uchwara , ..hujui kuja nchi wanauza ? ni bure kwako kwa sbb inalipa serikali
Taja nchi hata moja tu duniani inayouza chanjo kwa raia wake. Kwanza chanjo tutapewa kwa mradi wa COVAX wa dunia nzima kusaidia nchi maskini kupata chanjo. Unauzaje wakati wamekupa ugawe bureWewe ni kijana uchwara , ..hujui kuja nchi wanauza ? ni bure kwako kwa sbb inalipa serikali