Wizara ya Afya Mnasubiri kutangaa Mlipuko wa Mafua hasa mikoa ya Pwani

Tuambie wew watu wangapi wanaumwa,
Sio kisa wew hujafua mashuka na familia yako mnaumwa mafua uanze kusema kuna mlipuko
 
Hakika, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Mafua makali na yana homa kweli kweli kama corona vile
 
Mie mwenyew nipo juu ya Mawe kuanzia juzi mafua mabaya sana alafu hayaponi kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…