Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Nawashauri Wizara mfanye mpango wa kuelimisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa bima ya afya.
 
Baraza la madaktari ni full wababaishaji, toka jtatu naenda hapo kuchukua documents za ndugu yangu ambazo zishalipiwa lakini wababaishaji tu, huyu registrar kazi imemshinda, hyo ofisi ifanyiwe review.
 
Mimi Tatizo langu kubwa ni NHIF BIMA, yaani nimelipa bima ‘Timiza Afya ‘ huu mwaka wa 2 ambapo inasaidia kwenye BAADHI ya gharama ndogo ndogo za matibabu ambazo hata Mimi binafsi bila hata ya bima ninazimudu.

Inapotokea gharama kubwa ya matibabu ambayo sina uwezo wa kuimudu ajabu ni kua hata BIMA nayo INASHINDWA!

Hapo ndipo ninaposhindwa kuona maana ya BIMA! Nimelalamika hadi pale ofisini za NHIF jengo la ushirika lkn majibu hayakuniridhisha.

Nadhani hata mafao ya bima yameelezwa kwa ujanja fulani ambapo utajua kua bima haifanyi kitu fulani wakati umeshakua na Tatizo!

- Kwanini tusiwe na bima NHIF yenye kufanya Vitu vyote na labda tushindwe bei wenyewe!

-kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya bima
NHIF kwa wafanyakazi na hizi bima mpya?

-serekali inaonaje kutoa kama RUZUKU fulani kwa NHIF hasa kwa wazee ili Bei zote za vifurushi vya bima ziwe Sawa bila kujali umri (kwa sasa umri zaidi ya miaka 60 Bei ni kubwa )
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.

Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.

Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:

Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”

Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz

Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania

#TunaboreshaSektayaAfya

View attachment 1588107
Nashauri wizara ya afya iingilie Kwa NHIF kuwaka Assistant Medical Officers kuwa kundi moja na Clinical Officers hasa kwenye gharama za kumwona Daktari kwani kwani Clinical Officers ni shilingi 2000 pamoja na Assistant Medical Officers.

Wakati Assistant Medical Officers wanaruhusiwa kufanya emergence surgeries zote.hii imepelekea Hospital za watu binafsi kuacha kuwajiri Assistant Medical Officers kwa sababu ya kigezo cha gharama ya kumwona Daktari ni ndogo kwa AMO ukilinganisha na Medical officer ambayo ni 20,000 kwa kumwona .

Ushauri wangu ni kuwa AMO na MD gharama iwe moja kuwaona ili kuondoa unyanyapaa wanaofanyiwa Assistant Medical Officers kwa kuwa kumwona ni 2000 tu.
 
Nashauri wizara ya afya iingilie Kwa NHIF kuwaka Assistant Medical Officers kuwa kundi moja na Clinical Officers hasa kwenye gharama za kumwona Daktari kwani kwani Clinical Officers ni shilingi 2000 pamoja na Assistant Medical Officers. Wakati Assistant Medical Officers wanaruhusiwa kufanya emergence surgeries zote.hii imepelekea Hospital za watu binafsi kuacha kuwajiri Assistant Medical Officers kwa sababu ya kigezo cha gharama ya kumwona Daktari ni ndogo kwa AMO ukilinganisha na Medical officer ambayo ni 20,000 kwa kumwona .
Ushauri wangu ni kuwa AMO na MD gharama iwe moja kuwaona ili kuondoa unyanyapaa wanaofanyiwa Assistant Medical Officers kwa kuwa kumwona ni 2000 tu. Utakuta emergence surgeries nyingi zinafanywa na Assistant Medical Officers na Serikalini wanawaheshimu sana tatizo Hospital za binafsi zipo kimasilahi zaidi ,Hospital moja ya private inaweza kuajiri MDs mfano 10 na kila mmoja anaona wagonjwa 20 kwa siku kwa hiyo wagonjwa 200 kila mmoja 20,000 ni 4,000,000 kwa siku hata wasifanye operation yoyote ni pato tosha ndiyo maaana hawataki kuajiri AMOs kwani hakuna pato lolote
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.

Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.

Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:

Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”

Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz

Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania

#TunaboreshaSektayaAfya

View attachment 1588107
Kwanini kipimo cha corona ni gharama kwa watanzania? Na kwanini mnacharge kwa USD na sio tshs?

100 USD ni gharama sana kwa mtanzania wa kawaida. Tunaomba mshushe gharama iwe 40,000 kama mwaka jana
 
Kwanini kipimo cha corona ni gharama kwa watanzania? Na kwanini mnacharge kwa USD na sio tshs?
100 USD ni gharama sana kwa mtanzania wa kawaida. Tunaomba mshushe gharama iwe 40,000 kama mwaka jana

Mbn kwenye mwendokasi na kwenye vitup vya mwendokasi hamana Tahadhari zozote zinazochukuliwa dhidi ya janga la corona ?
 
Inasemekana
Wapo watoto wanaozaliwa na jinsia mbili. Hivyo wazazi huwaficha kutokana na maumbile yao

Ukizingatia hili ni kundi maalumu; Je Serikali kupitia Wizara ya Afya ina Mwongozo gani kuhusu kuwasaidia watoto hawa, kuwapima na baadae kuwafanyia upasuaji ili wabaki na jinsia moja na sio mbili?.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.

Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.

Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:

Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”

Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz

Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania

#TunaboreshaSektayaAfya

View attachment 1588107
Hivi mnajisikiaje leo hii serikali imeagiza chanjo halafu miezi kadhaa nyuma mlikua mnadanganya watu kwamba corona ni vita ya mabeberu[emoji848]

Mlilcha wapi taaluma zenu, mkaja kabisa na picha eti mnakunywa kachumbari sijui covidal? Iko wapi siku hizi? Kwa nini hamkuitumia kutengeneza chanjo?

Mimi sina imani na wizara ya afys maana sielewi niamini lipi, kwamba corona ni vita ya mabeberu au niamini covidal na malimao na tangawizi au niamini kujifukiza na zile mashine zenu za muhimbili au nikimbilie kwenye chanjo?

Naombeni jibu tafadhali
 
HAWA MATABIBU WA TIBA MBADALA WANAOJITANGAZA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KAMA RAEDIO HAPA TANZANIA WANAPEWA VYETI VYA KUTIBU NA NANI?
MAANA WENGINE WANAHUBIRI THEORY FEKI KWA HADHIRA KIASI KWAMBA WANAPOTOSHA JAMII.....
 
Mkiweza futeni gharama ya kupima covid wakati hiyo chanjo ni bure hiyo rapid test mbona Nchi zingine bure tuu kama Botswana hapo tupunguzieni gharama wasafiri.

Na ukiingia Tanzania lazima ulipie na kupima wakati Nchi nyingi kama mtu katoka kapima na masaa bado yanasoma unapita tuu hapa shida nini au ndio mnakusanya mapato kupitia wagonjwa...
 
Mkiweza futeni gharama ya kupima covid wakati hiyo chanjo ni bure hiyo rapid test mbona Nchi zingine bure tuu kama Botswana hapo tupunguzieni gharama wasafiri...na ukiingia Tanzania lazima ulipie na kupima wakati Nchi nyingi kama mtu katoka kapima na masaa bado yanasoma unapita tuu hapa shida nini au ndio mnakusanya mapato kupitia wagonjwa...
Cha bure hakuna siku hizi chanjo yenyewe imelipiwa.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kweli kabisa maneno ya huyu mzee.
FB_IMG_16295609049034251.jpg

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Kwa kupitia tafiti zenu matatizo yatokanayo asbestos yapo kwa ukubwa gani hapa Tanzania?
Kuna hii makala nimeandika kuhusu asbestos naomba maoni na kura zenu tafadhali
 
Wizara ya afya imulikeni hospitali ya Kimara mwisho.

Wananchi wengi wanalalamikia huduma mbovu mahali pale.
Watendaji kazi wamejaa kiburi ni wazito kupokea na kuhudumia raia.

Wanajenga mazingira ya rushwa. Mtu anakwenda na serious case anazungushwa ilimradi atoe chochote.
Kuna case moja imetokea siku si nyingi sana,mama mjamzito aliyejifungua kwa operesheni alifariki kwa kukosa kuongezewa damu wakati wa operesheni!

Can you imagine that?!
 
Serikali imeshindwa kutolea muafaka Hospitali ya Dar Group (TOHS)
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Unaweza kututumia pia Private Message(PM) na utajibiwa kwa haraka sana.

Fuatilia ukurusa rasmi wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto (Idara Kuu Afya) wa Jamii Forums (Wizara ya Afya Tanzania) kupatea habari mbalimbali kuhusu Sekta ya Afya Nchini Tanzania.

Tufuatilie pia kwenye mitandao yetu ya:

Instagram @wizara_afyatz
Twitter @wizara_afyatz
Facebook “Ministry of Health, Gender, Elderly & Children”

Website www.moh.go.tz
Official Blog www.afyablog.moh.go.tz
Barua pepe mawasiliano@afya.go.tz

Anuani
S.L.P 743 Dodoma
Tanzania

#TunaboreshaSektayaAfya

View attachment 1588107
Ivi changamoto za dawa katika vituo vyetu vya afya itaishia lini an hii Hali imekua usumbufu sure
 
Back
Top Bottom