Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Wauguzi wetu na madaktari wetu hawako competentHabari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo,
Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya na mamlaka toka huko waje waitolee ufafanuzi maana kuna taharuki kubwa imezuka na hatua zaidi zichukuliwe,
Hope kupitia info hizi Wahusika wakabaini chanzo!
Wizara ya Afya Tanzania
Inashangaza maana naambiwa kuna mwingine kakimbizwa Iringa mjini kwa matibabu tunaomba wahusika walete taarifa za kunyooka hapa!Wauguzi wetu na madaktari wetu hawako competent
Sijui mimi sio Daktari waje wataalamu watolee ufafanuzi Sindano ya chanjo ndio kitu gani maana ndio taarifa zinavyosema kulingana na mashuhuda!Sindano ya chanjo ndo nini?
Ni bahati nasibu katika uhai wa watu!Wauguzi wetu na madaktari wetu hawako competent