Mtuambie wazi ni chanjo aina gani mmepokea. Mbona haitajwi au mmepokea ile ya Jobnson na Astrazenica??
Wekeni wazi ili tujue na kuamini uwezo wake.
Sio watu zinaanza kugandisha damu na hospitali zetu hatuna uweze wa kudhibiti tutauana !
Kwaiyo nyi mlishachanjwa na Sasaivi mnaliwa kwenda mbele, lazima mtoe tahadhaliHasa chadema wanaipenda sana chanjo!
Kumbe wana siri nyuma ya pazia ya kutaka kuwa mapunga!!!!!
Kwanza wameleta chanjo gani mbona hawaitaji jina?
Hapo hakuna chanjo ni kupewa virus vya corona tu, chanjo ni lazima ikukinge dhidi ya ugonjwa fulani, wao wanasema hiyo chanjo haizuii maambukizi sasa wanataka watuchanje ili iweje?CDC definition of Vaccine: Is a product that stimulates a person’s immune system to produce immunity to a specific disease, protecting the person from that disease.Thus, The so called Covid-19 vaccine is NOT a vaccine at ALL!! because;
1). These covid-19 vaccines doesn't provide innoculated individual with protection against corona virus.
2).Covid-19 vaccines does not prevent the spread of the disease.
Therefore, Covid-19 vaccines does NOT MEET the CDC definition of Vaccine.
Watanzania AMKENI!!.
Hauna akili kabisaa wewe.Toa evidence ya ulichokiandika. Yaani unatoa Malibu bila ya maswali.shida kubwa ni pale Wasiokuwa wataalamu kuleta hoja za mawazo yake. Hivi unajua kwanini Kuna sehemu inaitwa shule?
.
Imetajwa bwana,soma magazeti yote ya leoKwanza wameleta chanjo gani mbona hawaitaji jina?
Wizara ya afya is the mess ,,yaani badala wizara ichukulie suala la afya kwa uzito wake ,inalichukulia suala hili kisiasa,,embu angalia walivyo kurupuka kuzuia mikusanyiko ile ya katiba na siku zote walikua kimya,,embu angalia suala la simba na yanga huko kigoma,,mbona halizungumziwi hilo,au simba na yanga si mikusanyiko, na lipi kusanyiko kubwa..
Hiyo statement ya wataalamu wamejiridhisha ni uhuni mwingine, how sure are we na uadilifu, weledi, uwezo wa hao wataalamu? Kwa nini serikali haisemi "serikali ya Tanzania imejiridhisha" mwisho wa siku mambo yakienda kombo wanaumizwa watu wengine kwa kisingizio cha wataalamuWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
View attachment 1866020
Sawa tuKuna watu wanataka kula malimau, tangawizi na pilipili kali kama chanjo 🤣🐒