Mkuu Dondora?kuna basi la kuelekea mkoani njombe na mbeya mpaka dondora wapo na wameweka makazi nilijiuliza maswali mengi sana?
Sio kazi ya wizara y afyaSerikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria.
Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la abiria naomba nisitaje ila chanzo kikuunni stand zetu na kutokuwepo utaratibu wa kukagua na kupiga dawa mabasi ya safari ndefu na fupi.
Wizara husika Tunaomba msaada jamani kunguni wanatumaliza.
ni abiria ndio wanaotoka nao nyumbani kwenye mabegi yaoSerikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria.