Ni Kweli, huu utaratibu usio wa kiungwana ulishika kasi sana kinyume na utaratibu.Lakin afadhali kwa sasa maana ilikua imezd kukithiri siku baada ya siku
Its not over until its over...[emoji769]
Fahamu kwamba hawa hawa unaowaona huku mitandaoni wanachafua lugha kwa kuandika xx badala ya sisi, amna badala ya hamna, ana badala ya hana.... ndio hao hao wako ofisini. Umakini unakuwa mdogo anapoandika taarifa ya kuja kwenye jamii anadhani anaandika kwenye page yake ya InstagramHivi kweli hii ni barua au taarifa ya wizara?!? Kama ni kweli inaelekea ndani ya serikali Kuna watu hawajui kabisa lugha kikiwemo hata Kiswahili...shame on them...Hakuna neno swala au maswala kwa maana inayoeleweka kwa barua au taarifa hiii..ila Kuna suala au masuala..
I am sorry kwa nitakayoandika hapa kuhusu comment yako hii....nadhani miongoni mwa watu wa ajabu nchini mwetu na pengine mwenye uelewa mdogo was issues mbalimbali na hata mpotoshaji mkubwa pengine wewe unaweza kuwa mmoja wao...Rais atume ndege kuchukua dawa ya kutibu mafenesi?Unashangaa hilo wakati Rais katuma ndege Madagascar kuchukua dawa ya kutibu ugonjwa unaoathiri Mafenesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipo Tanzania tu mwanasiasa anaamua hatma ya wananchi. Nasi pia tumejenga utaratibu wa kuwasikiliza as if wao ni wataalamu wa kila kitu kwenye maisha.Nitoke nje ya mada.
Hatuwezi kuongozwa na wanasiasa kwenye hiki kipindi kigumu kisha tutarajie kuushinda huu ugonjwa.
Ingekuwepo kamati ya wataalamu wa afya na majanga ingekuwa heri mihemko na hisia zingepungua...
Thanks...nimekuelewa...Fahamu kwamba hawa hawa unaowaona huku mitandaoni wanachafua lugha kwa kuandika xx badala ya sisi, amna badala ya hamna, ana badala ya hana.... ndio hao hao wako ofisini. Umakini unakuwa mdogo anapoandika taarifa ya kuja kwenye jamii anadhani anaandika kwenye page yake ya Instagram
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ni Marekani ndugu, huku aina ya ushauri unaotekelezwa hujauona? Mmoja kashaapishwa leo, pitia Hansard utaona ushauri alioutoa hivi karibuniTatizo liko hapa, hao wataalamu mbona hawawezi kujitokeza na kuwapinga hawa wanasiasa? Nangalia USA kwa mfano, Dr. Anthony Fauci anajibu technical questions daily, wanapredict vifo na cases za COVID 19. Trump anatekeleza bila ubishi wowote. Maseneta wanapokea reports za majimbo toka kwa wanasayansi, nk Daby,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaonea bure,amri ya kuzika usiku ilitoka huko huko ilipotoka hiiWameshamsoma Mwanahamisi, wanaanza kujirekebisha. Nchi hii kila idara imeshikwa akili, mpaka watingishwe ndio wanazinduka.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππ ndiyo wataalam wetu wanatumika kuandikia viongozi. Hivi hao viongozi hawafanyi proof reading? Swala ni mnyama tena hana wingi. Eti maswala. Yaani kiingereza shida na Kiswahili shida.Hivi kweli hii ni barua au taarifa ya wizara?!? Kama ni kweli inaelekea ndani ya serikali Kuna watu hawajui kabisa lugha kikiwemo hata Kiswahili...shame on them...Hakuna neno swala au maswala kwa maana inayoeleweka kwa barua au taarifa hiii..ila Kuna suala au masuala..
Yaani ndio mnakumbuka leoWatu kuzikwa kama wanyama usiku wa manane haikubalikik nakupongeza sana mganga mkuu prof. Abel Makubi na wizara kwa ujumla uwezo wako toka ulipokua bugando ulionekana Hongera sana...
Its not over until its over...
View attachment 1438546
Hapana Monk wanajeshi hawafai...hapa wangepewa kazi madaktari..
Rais angekuwa anapokea ushauri na taarifa ya watalaam. Sasa kamati iliyoundwa inaongozwa ma yeye na nyingine eti waziri mkuu.
Wanajua nini kuhusu magonjwa! Wanasiasa wangeshughulika na siasa. Sasa hapa kwetu ukishakuwa mwanasiasa basi wewe ni daktari, mchumi, mwalimu, askari, mwanasheria na kila kitu.
Watanzania hawana utamaduni wa kuzika wapenzi wao usiku wa manane ila kwa maagizo toka juu inaonekana Awamu hii iliamua kuchukua jukumu la kuzika wafu usiku kukwepa utamaduni uliokuwapo wa mtu yeyote asiyefika kwenye mazishi hutengwa na akifariki hususiwa kuzikwa. Kuzika usiku ni rahisi kupata watu chini ya 10 wa kumzika kila mfu kama Serkkali ilivyotaka. Kwa uamuzi huu mpya utashuhudia maelfu ya waombolezaji wakishiriki kila mazishi.Sasa wakati zoezi linaendelea wao walikuwa wapi?..
Ina maana wazikaji walijiamulia Tu kuzika usiku?