Wizara ya Ardhi yamwaga Ajira 1440+

Wizara ya Ardhi yamwaga Ajira 1440+

Dodoma leo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
1,336
Reaction score
1,658
Ingien ajira.go.tz
Land valuation, surveyors, cartographers, geographist,GIS, town planners and alike.
Data recorder kwa Level ya degree.
 
Pole kwa wazazi wako waliokulipia ada, bora hiyo pesa wangefuga paka akamate panya, kuliko hizi akili zako!!
Nimeandika ukweli salary hapo mostly ni TGS E 900K, wakati tra wenzenu hiyo 900k Ni Posho
 
Nimeandika ukweli salary hapo mostly ni TGS E 900K, wakati tra wenzenu hiyo 900k Ni Posho
Mkuu Kwahiyo kwa uelewa wako unatutaka wote tukaajiliwe TRA, hata tuliosomea ualimu na sisi twende TRA?

Nina wasiwasi na wewe juu ya uelewa wako katika kupambanua Mambo mkuu.
 
Mkuu Kwahiyo kwa uelewa wako unatutaka wote tukaajiliwe TRA, hata tuliosomea ualimu na sisi twende TRA?

Nina wasiwasi na wewe juu uelewa wako katika kupambanua Mambo mkuu.
Mashirika yako mengi yenye maslahi, sio lazima wote muwe TRA wengine mnaweza kufanya Kazi halmashauri
 
Sasa Kama unalipwa 2.4 M laki9 si Posho tu?
Haaaaaaah ndo imani yko ipo hapa mshahara hay determine posho unaweza kulipa mshahara wa 2.4M kila kitu kikawa fixed huko ila mwenzako anaelipwa 700k akawa ana posho nyingi kuliko wewe kwa mwezi swala la posho inategeana upo wapi na unafanya kazi gani
 
Back
Top Bottom