- Nani kakwambia nakaa kwa shemeji? au Kama ww unakaa na shemeji yako unafikiri kila mtu anakaa kwa shemeji Kama ww?Kijana endelea kuishi kwa shemeji yako ukiamka chakula kiko mezani, Ya mtaani tuachie wenye nayo😎
-Usichukie kuambiwa ukweli kuwa Wizara ya ardhi Ni Kama halmashauri tu Hakuna issue