Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Bora hio TGS E ya kuanzia , maisha kuliko kutoku na kitu kabisaHazina issu zote hizo ni TGS E,
Unaweza ukawalipa hao jamaa wote 1500 maisha Yao hata alfu kumi tu kila mwezi,na stahiki zote. Wakati hata buku ya vocha ukiombwa unakasirikajeHazina issu zote hizo ni TGS E,
Pole kwa wazazi wako waliokulipia ada, bora hiyo pesa wangefuga nyau akamate panya, kuliko hizi akili zako!!Hazina issu zote hizo ni TGS E,
😂😂😂😂😂😂😂 daah, kwa kweli nimechekaPole kwa wazazi wako waliokulipia ada, bora hiyo pesa wangefuga paka akamate panya, kuliko hizi akili zako!!
😂😃😀😁🤣💤💫💥💢💨💦Hazina issu zote hizo ni TGS E,
U
Unaweza ukawalipa hao jamaa wote 1500 maisha Yao hata alfu kumi tu kila mwezi,na stahiki zote. Wakati hata buku ya vocha ukiombwa unakasirikaje
[emoji1787][emoji1787]Pole kwa wazazi wako waliokulipia ada, bora hiyo pesa wangefuga paka akamate panya, kuliko hizi akili zako!!
Nimeandika ukweli salary hapo mostly ni TGS E 900K, wakati tra wenzenu hiyo 900k Ni PoshoPole kwa wazazi wako waliokulipia ada, bora hiyo pesa wangefuga paka akamate panya, kuliko hizi akili zako!!
Ungesoma Taxation ungekuwa unawwza TRABora hio TGS E ya kuanzia , maisha kuliko kutoku na kitu kabisa
Mimi au ww Ni mshamba?Jamaa mshamba sana uyo
Tra ya wapi Ina posho ya 900kNimeandika ukweli salary hapo mostly ni TGS E 900K, wakati tra wenzenu hiyo 900k Ni Posho
Sasa Kama unalipwa 2.4 M laki9 si Posho tu?Tra ya wapi Ina posho ya 900k
Mkuu Kwahiyo kwa uelewa wako unatutaka wote tukaajiliwe TRA, hata tuliosomea ualimu na sisi twende TRA?Nimeandika ukweli salary hapo mostly ni TGS E 900K, wakati tra wenzenu hiyo 900k Ni Posho
Mashirika yako mengi yenye maslahi, sio lazima wote muwe TRA wengine mnaweza kufanya Kazi halmashauriMkuu Kwahiyo kwa uelewa wako unatutaka wote tukaajiliwe TRA, hata tuliosomea ualimu na sisi twende TRA?
Nina wasiwasi na wewe juu uelewa wako katika kupambanua Mambo mkuu.
Haaaaaaah ndo imani yko ipo hapa mshahara hay determine posho unaweza kulipa mshahara wa 2.4M kila kitu kikawa fixed huko ila mwenzako anaelipwa 700k akawa ana posho nyingi kuliko wewe kwa mwezi swala la posho inategeana upo wapi na unafanya kazi ganiSasa Kama unalipwa 2.4 M laki9 si Posho tu?
Kijana endelea kuishi kwa shemeji yako ukiamka chakula kiko mezani, Ya mtaani tuachie wenye nayo😎Sasa Kama unalipwa 2.4 M laki9 si Posho tu?