Wizara ya Ardhi yamwaga Ajira 1440+

Kijana endelea kuishi kwa shemeji yako ukiamka chakula kiko mezani, Ya mtaani tuachie wenye nayo😎
- Nani kakwambia nakaa kwa shemeji? au Kama ww unakaa na shemeji yako unafikiri kila mtu anakaa kwa shemeji Kama ww?
-Usichukie kuambiwa ukweli kuwa Wizara ya ardhi Ni Kama halmashauri tu Hakuna issue
 
Wapi huko kwenye salary ya 700K halafu posho milioni 2 kwa mwezi?
 
Siku moja nilisoma salary slip ya dereva wa ofisi moja ya serikali, mshahara wake ni 1,500,000.
Ushauri: Usishobokee ajira za serikali kwa kufuatisha halmashauri ya njaa zako.
Utapata take home ya 520000 pamoja na Degree yako akuzidi huyu dereva aliyepata driving certificate na leseni kwa mchongo,
 

Achana na mjinga uyo ata ka 700k ndo mshahara wake yeye anawashwa na nn kwan lzm wote tulingane
 
Nimeandika ukweli salary hapo mostly ni TGS E 900K, wakati tra wenzenu hiyo 900k Ni Posho
Hata kwenye ajira kuna ku-grow ndo maana kuna Entry salary scale hadi kufikia huko kwenye Leaders salary scale, hakuna anayeanza na Salary ya Leaders salary scale they all start somewhere!!
 
Huyo bwege anayeponda kuwa kazi hizi ni TGSE km 900k Akidai TRA hiyo 900k nj posho , hajui Kuna field Kama za lands ie surveyors ,valuers etc mshahara siyo ishu kabisa bali nights ,perdiemd ni throughout the time
 
Huyo bwege anayeponda kuwa kazi hizi ni TGSE km 900k Akidai TRA hiyo 900k nj posho , hajui Kuna field Kama za lands ie surveyors ,valuers etc mshahara siyo ishu kabisa bali nights ,perdiemd ni throughout the time
Kwani TRA,BoT,Ewura,latra,TANROADS, hawana nights,perdiem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…