Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
- Thread starter
- #21
Acha kukurupuka ndg yng,
ulitaka wachaguliwe wapelekwe wapi km form six walikuwa hawajamaliza mitihani yao??
Wewe umesoma kweli?
au ulipata div.3 ya mwisho ukaenda private so hujui form five wanachaguliwa lini?
Majina ya form 5 hutangazwa baada ya form 6 kumaliza ndivyo inavyokua miaka yote,hivyo tarajia kuyasikia yakitangazwa muda wowote kuanzia leo...
We nawe ni jini Shamsa. Kutangaza sio kwenda shule.