Wizara ya Elimu inatesa akili za Wazazi na Wahitimu wa form 4 mwaka 2013. Ualimu unalazimishwa

Wizara ya Elimu inatesa akili za Wazazi na Wahitimu wa form 4 mwaka 2013. Ualimu unalazimishwa

Uko wapi huo uchambuzi?
Ama ndo huo uliofanyia kwenye jukwaa la siasa kisha unaleta huku kwenye elimu!
weka ripoti ya uchambuzi sasa!
Mkùu wangu, kwani hilo jukwaa la siasa lipo humu humu JF? Siwez weka same post kwenye majukwaa mawili tofauti, nitakua nakiuka utaratibu wa JF! Unfortunately, natumia cm other wise ningetoa link--may be sometime later but ukweli ndo huo, all C's had to be D's nd some of the D's being F's if 2012 grading system could be used!
 
mkùu wangu, kwani hilo jukwaa la siasa lipo humu humu jf? Siwez weka same post kwenye majukwaa mawili tofauti, nitakua nakiuka utaratibu wa jf! Unfortunately, natumia cm other wise ningetoa link--may be sometime later but ukweli ndo huo, all c's had to be d's nd some of the d's being f's if 2012 grading system could be used!

utaweka hiyo link endapo ukijikuta na pc itakua vema.
 
utaweka hiyo link endapo ukijikuta na pc itakua vema.
Link hii hapa Mkuu wangu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/661038-madudu-ya-wizara-ya-elimu-csee-2013-wote-waliopata-div-iii-walipata-div-iv-na-failed.html#post9580253 . Hata hivyo, inabidi utulie vinginevyo unaweza kuona nadanganya... lakini vile vile, inabidi uwe na moyo kv andiko ni refu! Inawezekana nisiwe sahihi kwa 100% lakini nililokuwa na uhakika kwa 100% ni kwamba C zote za 2013 zilikuwa D endapo tungetumia grading system ya 2012... na kama nilivyosema earlier, kuna uwezekano mkubwa kwamba baadhi ya D za 2013 ni F na III nyingi kama sio zote ni IV
 
Walahi wengi humu jukwaani ni wavamizi.Hili ni jukwaa la siasa na elimu inaongozwa na sera za kisiasa,sasa tatizo langu liko wapi??In maana hujui hata philosophy kidogo ya kukuelekeza kujua nilichomaanisha na bado unashinda humu jukwaani??
wewe ndo umevamia jf, hii post ipo kwenye jukwaa la elimu na sio jukwaa la siasa ukitaka mambo ya UKAWA na maccm nenda kwenye jukwaa la siasa, philosophy uliyosomea chini ya muembe usiiapply hapa.
 
Back
Top Bottom