Mkùu wangu, kwani hilo jukwaa la siasa lipo humu humu JF? Siwez weka same post kwenye majukwaa mawili tofauti, nitakua nakiuka utaratibu wa JF! Unfortunately, natumia cm other wise ningetoa link--may be sometime later but ukweli ndo huo, all C's had to be D's nd some of the D's being F's if 2012 grading system could be used!Uko wapi huo uchambuzi?
Ama ndo huo uliofanyia kwenye jukwaa la siasa kisha unaleta huku kwenye elimu!
weka ripoti ya uchambuzi sasa!