Wizara ya Elimu inatesa akili za Wazazi na Wahitimu wa form 4 mwaka 2013. Ualimu unalazimishwa

Acha kukurupuka ndg yng,
ulitaka wachaguliwe wapelekwe wapi km form six walikuwa hawajamaliza mitihani yao??

Wewe umesoma kweli?
au ulipata div.3 ya mwisho ukaenda private so hujui form five wanachaguliwa lini?

Majina ya form 5 hutangazwa baada ya form 6 kumaliza ndivyo inavyokua miaka yote,hivyo tarajia kuyasikia yakitangazwa muda wowote kuanzia leo...

We nawe ni jini Shamsa. Kutangaza sio kwenda shule.
 
Dah?mimi mwenyewe hapa ni muhitimu mwaka 2013.lakini mpaka sasa nishaliwa sh. elfu 30 na NACTE,kwa sababu niliona upepo wa div 3 sio mzuri wa kwenda form 5 kwa sababu ccm wamehatamia selection zetu.
 
We ni msomi ! Baada yakuishukuru hiyo ccm unayoilaumu ! Na imekupa hiyo Div 3 unaanza kuilaumu !

Jiulize bila BRN hiyo 3 ingekuwa ngapi !
Mana kwa mtazamo wako pia unaamini BRN imeletwa na CCM !

Grow up man ! Usiingize CCM kwenye maswala kama hayo !
 
Kama hata chama klichopo madarakani kinamwita Waziri wa Elimu MZIGO, mtaendelea kuteseka kwa kwenda mbele kwa mbele
 
We nawe ni jini Shamsa. Kutangaza sio kwenda shule.

Asante,
Trust me or not...
Haijawahi kutokea majina ya form five walochaguliwa yakatangazwa kabla ya form six kumaliza mitihani yao...

Tatizo vijana mmekuwa wabishi na wepesi wa kutukana bila kufikiria,

Ndo maana nakuambia wewe pengine ni form four unayesubiria hizo post au hukuwahi kusoma hiyo f5&6 kabisa la sivyo ungekuwa unajua...

Sisi tuliosoma hyo elimu tena serikalini kwa sababu tulifaulu vizuri tunajua...
 
Tatizo nyinyi UKAWA hamkosi kuchokonoa,serikali yetu sikivu ina nia njema.Vuteni subira.
wewe jamaa acha kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi, tatizo muda wote unawaza siasa, kama hauna jambo la msingi la kuchangia kua msomaji tu au kaa kando. kuna watu wengi wamesoma hii thread lakini hawajachangia sio lazima kila kitu u comment!
 
Mleta mada, naomba unisaidie kujua kua vyuo vya ualimu huwa vinaanza muhura wake mwezi wa ngapi? Akijibu tutaelewa ukweli wa tuhuma zake.
 
Watu wamefaulu vizuri ila wamelazimika tu kuomba ualimu lakini si kwa kupenda bali ni kujaribu kukabiliana na usiri wa Serikali yetu hii. Inakuwaje serikali inashindwa kustrategize kuvutia watu waende ualimu hata kama wana alama nzuri ili wapatikane walimu wenye kupenda kazi hiyo na badala yake tuache kuviziana?

Labda hii paragraph itakusaidia. Ila ndo sasa natambua kuwa najibizana na Jini "Shamsa" wewe binafsi ulishakufa kitambo. Maana tabia zako ni za jini shamsa....hata kitu muhimu na shida kwa watanzania unaona tabu.

serikali imemlazimisha nani na kivipi kusomea uwalim ilhali amepata alama za kwenda kidato cha 5?

Inaonekana hukuelewa tangazo la wizara ya elimu!!!! Yaan mtu apate div 1 then serikali imlazimishe kwenda ualimu kivipi?

Wanaoomba ualimu ni wale wenye div3 ambazo combinations hazikubalance na wengine hawakutimiza credits 3,

hakuna anaelazimishwa kusomea ualim!!
 
Acha kukurupuka ndg yng,
ulitaka wachaguliwe wapelekwe wapi km form six walikuwa hawajamaliza mitihani yao??

Wewe umesoma kweli?
au ulipata div.3 ya mwisho ukaenda private so hujui form five wanachaguliwa lini?

Majina ya form 5 hutangazwa baada ya form 6 kumaliza ndivyo inavyokua miaka yote,hivyo tarajia kuyasikia yakitangazwa muda wowote kuanzia leo...

good reply!
 
Mtu amefaulu hajiamini kama anaenda kidato cha tano au la!
 
We ni msomi ! Baada yakuishukuru hiyo ccm unayoilaumu ! Na imekupa hiyo Div 3 unaanza kuilaumu !

Jiulize bila BRN hiyo 3 ingekuwa ngapi !
Nilifanya uchambuz wa CSEE 2013 kule Jukwaa la Siasa. In short, taking 2012 as base year, majority if not all of Div III za 2013 ni Div IV za pts 28 to 32 na C zote ni D's wakati D zao, some ni F!
 
Uko wapi huo uchambuzi?
Ama ndo huo uliofanyia kwenye jukwaa la siasa kisha unaleta huku kwenye elimu!
weka ripoti ya uchambuzi sasa!
 
Nilifanya uchambuz wa CSEE 2013 kule Jukwaa la Siasa. In short, taking 2012 as base year, majority if not all of Div III za 2013 ni Div IV za pts 28 to 32 na C zote ni D's wakati D zao, some ni F!

Am not among the percenters ! Who will argue !
 
Walahi wengi humu jukwaani ni wavamizi.Hili ni jukwaa la siasa na elimu inaongozwa na sera za kisiasa,sasa tatizo langu liko wapi??In maana hujui hata philosophy kidogo ya kukuelekeza kujua nilichomaanisha na bado unashinda humu jukwaani??
wewe jamaa acha kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi, tatizo muda wote unawaza siasa, kama hauna jambo la msingi la kuchangia kua msomaji tu au kaa kando. kuna watu wengi wamesoma hii thread lakini hawajachangia sio lazima kila kitu u comment!
 
Acha kukurupuka ndg yng,
ulitaka wachaguliwe wapelekwe wapi km form six walikuwa hawajamaliza mitihani yao??

Wewe umesoma kweli?
au ulipata div.3 ya mwisho ukaenda private so hujui form five wanachaguliwa lini?

Majina ya form 5 hutangazwa baada ya form 6 kumaliza ndivyo inavyokua miaka yote,hivyo tarajia kuyasikia yakitangazwa muda wowote kuanzia leo...

Mmm angalau umenipunguzia pressure maana huyu jamaa anaweza kukukatisha tamaa
 
Back
Top Bottom