Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
- Thread starter
-
- #21
Acha kukurupuka ndg yng,
ulitaka wachaguliwe wapelekwe wapi km form six walikuwa hawajamaliza mitihani yao??
Wewe umesoma kweli?
au ulipata div.3 ya mwisho ukaenda private so hujui form five wanachaguliwa lini?
Majina ya form 5 hutangazwa baada ya form 6 kumaliza ndivyo inavyokua miaka yote,hivyo tarajia kuyasikia yakitangazwa muda wowote kuanzia leo...
Kama hauko Tanzania habari ndo hiyo.....ila wametangaza nafasi za kwenda ualimu.
Dah?mimi mwenyewe hapa ni muhitimu mwaka 2013.lakini mpaka sasa nishaliwa sh. elfu 30 na NACTE,kwa sababu niliona upepo wa div 3 sio mzuri wa kwenda form 5 kwa sababu ccm wamehatamia selection zetu.
Unakosea sana mkuu,Bila siasa safi hakuna elimu bora.Sera nzuri za elimu zinaletwa na siasa nzuri.Naamini uliteleza mkuu wangu.Elimu Siyo Siasa Mkuu
We nawe ni jini Shamsa. Kutangaza sio kwenda shule.
fm6 wanamaliza ln exam??
wewe jamaa acha kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi, tatizo muda wote unawaza siasa, kama hauna jambo la msingi la kuchangia kua msomaji tu au kaa kando. kuna watu wengi wamesoma hii thread lakini hawajachangia sio lazima kila kitu u comment!Tatizo nyinyi UKAWA hamkosi kuchokonoa,serikali yetu sikivu ina nia njema.Vuteni subira.
Watu wamefaulu vizuri ila wamelazimika tu kuomba ualimu lakini si kwa kupenda bali ni kujaribu kukabiliana na usiri wa Serikali yetu hii. Inakuwaje serikali inashindwa kustrategize kuvutia watu waende ualimu hata kama wana alama nzuri ili wapatikane walimu wenye kupenda kazi hiyo na badala yake tuache kuviziana?
Labda hii paragraph itakusaidia. Ila ndo sasa natambua kuwa najibizana na Jini "Shamsa" wewe binafsi ulishakufa kitambo. Maana tabia zako ni za jini shamsa....hata kitu muhimu na shida kwa watanzania unaona tabu.
Acha kukurupuka ndg yng,
ulitaka wachaguliwe wapelekwe wapi km form six walikuwa hawajamaliza mitihani yao??
Wewe umesoma kweli?
au ulipata div.3 ya mwisho ukaenda private so hujui form five wanachaguliwa lini?
Majina ya form 5 hutangazwa baada ya form 6 kumaliza ndivyo inavyokua miaka yote,hivyo tarajia kuyasikia yakitangazwa muda wowote kuanzia leo...
Nilifanya uchambuz wa CSEE 2013 kule Jukwaa la Siasa. In short, taking 2012 as base year, majority if not all of Div III za 2013 ni Div IV za pts 28 to 32 na C zote ni D's wakati D zao, some ni F!We ni msomi ! Baada yakuishukuru hiyo ccm unayoilaumu ! Na imekupa hiyo Div 3 unaanza kuilaumu !
Jiulize bila BRN hiyo 3 ingekuwa ngapi !
Uko wapi huo uchambuzi?Nilifanya uchambuz wa CSEE 2013 kule Jukwaa la Siasa. In short, taking 2012 as base year, majority if not all of Div III za 2013 ni Div IV za pts 28 to 32 na C zote ni D's wakati D zao, some ni F!
Nilifanya uchambuz wa CSEE 2013 kule Jukwaa la Siasa. In short, taking 2012 as base year, majority if not all of Div III za 2013 ni Div IV za pts 28 to 32 na C zote ni D's wakati D zao, some ni F!
wewe jamaa acha kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi, tatizo muda wote unawaza siasa, kama hauna jambo la msingi la kuchangia kua msomaji tu au kaa kando. kuna watu wengi wamesoma hii thread lakini hawajachangia sio lazima kila kitu u comment!