Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Wasalaam,
Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika?
Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu?
Wizara ya elimu kupitia wakaguzi wa wilaya fanyeni ukaguzi wa namna ya ufundishaji katika shule hiyo. Ufundishaji unazingatia tu madarasa mawili (Darasa LA NNE na LA saba).
Madarasa hayo hufanyishwa mitihani tu tokea January mpaka wanapofanya mitihani ya mwisho.
Kuna tetesi na minong'ono pia kuhusu wanafunzi wa kike kufanyiwa vitendo visivyo vya kiungwana na baadhi ya walimu.
Please fuatilieni mwenendo wa hiyo shule na mtagundua mengi madudu right away from the headteacher na mengine mengi.
Kwenye suala la mitihani ni wizi mtupu.