imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
๐๐๐๐๐ mbavu jamaniNaona katibu mkuu kabadili gia angani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐ mbavu jamaniNaona katibu mkuu kabadili gia angani
Hamia tu Marekani mkuu utuachie Tz yetu tusioendekeza ngono ngono hadi kwa watoto wa shule!Ishukuriwe marekani.
Marekani hana cha kujisifu, hatupi msaada Bali ni mkopo tena wenye riba! Serikali imesema inao utaratibu rasmi wa kushughulikia wanafunzi wamama, full stop!! Watapewa muda wa kulea mimba na mtoto!! (Siyo kuendelea na masomo huku ni wajawazito kama vyuo vikuu). Mtoto akishakua vizuri watamalizia masomo yao kwa utaratibu rasmi wa serikali, full stop!!!;Alafu Cha kufurahisha ni kwamba beberu yeye hajajibu maneno ya kashifa yaliyotolewa juu yake ila kapiga kimya na kuacha vitendo vimjibu mbabe wa kujimwambafy