Wizara ya fedha,mambo ya ndani na CCM project msikitini.Hii project mnapeleka taifa kubaya.

Wizara ya fedha,mambo ya ndani na CCM project msikitini.Hii project mnapeleka taifa kubaya.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hapa ikulu wanashindwa kuelewa nani ni mvujishaji wa taarifa.

Ukiona raisi kakimbilia kwao znz kuna maagizo sasa wanao muunga mkono kila mambo ya serikali yapitie msikitini.

Sio kwa ubaya ni kwamba amefanya haya kuona kashindwa.
 
Ambacho hujui ofisi nyingi za umma hazikaliki,

Ukikaa unaishia kuumwa na kupata majanga, kama sio kufa.

So ukipatawa cheo kipya hakikisha unakwenda na padri au shekhe kuiombea ofisi kabla hujakaa vzr. Ukishindwa nenda na mgaanga kabisa.

Ukiona hakai Dodoma ujue ameshindwa kukiondoa kilichochimbiwa hapo ikulu

Ndo maana Magu aliamua kuhama DSM
 
Back
Top Bottom