WIZARA YA FEDHA YA MAREKANI YADAI YA KUWA ILIDUKULIWA NA CHINA.

WIZARA YA FEDHA YA MAREKANI YADAI YA KUWA ILIDUKULIWA NA CHINA.

Dede 01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2024
Posts
1,182
Reaction score
2,248
Habari wakuu!
Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta China.
Inaripotiwa ya kuwa mdukuzi huyo aliweza kupitia nyaraka ambazo hazikuizinishwa na vituo vya kazi vya wafanyakazi wa wizara hiyo.
FBI pamoja na taasusi zingine zinaendelea kuchunguza swala hili ila kwa upande wa serikali ya China imesema ya kuwa lengo la shutuma hiyo ni kuharibu sifa ya China.
Screenshot_20241231-184416_Chrome.jpg

Yangu ni hayo tu.
Heri ya mwaka mpya kwa members wote. Mshukuru Mungu kama umeweza kuvuka mwaka.
 
Mambo ya MSS hayo.

Ujasusi wa kiuchumi achana na wa Yericko Nyerere a.k.a Mengele jasusi toka mbutu
 
Back
Top Bottom