Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Afadhali kuna mwenye akili ameona hili. Ila anipe credit zangu.
www.jamiiforums.com
www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org
Hoja: Bidhaa zote zinazosajiliwa Tanzania ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya Kiswahili
Nimeonelea nilete hii mada kwa mara ya pili. Maelezo kwa mtumiaji ni muhimu sana hasa kwa vitu kama dawa. Sasa unakuta bidhaa inauzwa Tanzania na nyingine inatengenezwa hapahapa lakini inakuwa na maelezo ya Kiingereza, Kifaransa, kiarabu na lugha zingine lakini si Kiswahili. Watumiaji wengi wa...
Bidhaa zinazosajiliwa nchini ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili
Wakuu habari Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini si kiswahili na watumiaji ni waswahili. Iko hivyo kwenye kila bidhaa na zingine zinazalishwa...