Wizara ya itoe muongozo kama huduma kwa wamama wajawazito ni bure au ni malipo

Wizara ya itoe muongozo kama huduma kwa wamama wajawazito ni bure au ni malipo

ex spy2

Member
Joined
Dec 11, 2025
Posts
5
Reaction score
9
Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nawaslaimu raia wenzangu.Waziri wa afya mchengerwa tunaomba majibu juu ya huduma kwa awajawazito mkoa wa Kigoma GUNGU hospitali ya kikungu.

Hivi huduma ya kujifungua ni bure au? kwani nimepeleka mke wangu kujifungua kwa bahati mbaya hakufanikiwa kujifungua kwa njia ya kawaida.

AMEFANYIWA OPERESHENI naambiwa nitoe laki mbili(200000).Je serikali imebadilisha utaratibu sasa nikulipia madaktari wameamua wenyewe ili kuichonganisha serikali sikivu na wananchi.

Mhe. Waziri wa afya tunaomba muongozo. Nitaweka ya risiti ya malipo
waziri yupo kimya
 
Back
Top Bottom