Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Kabla ya Magufuli mbolea haikuwa na ruzuku na ilikuwa inapatikana kwq bei nafuu sana kila mahaliMagufuli aliondoa ruzuku,mbolea na mafuta vilianza kupanda bei mwishoni 2020
Kabla ya Magufuli mbolea haikuwa na ruzuku na ilikuwa inapatikana kwq bei nafuu sana kila mahaliMagufuli aliondoa ruzuku,mbolea na mafuta vilianza kupanda bei mwishoni 2020
Kabla ya utaratibu wa sasa ilikuwaje ?Hiyo fungulia mbwa ikifanyika, italeta athali kubwa sana, tunaweza kuingiziwa mbolea fake hapa mfano hakuna, Serikali ifanye tu juhudi za makusudi kulimaliza hili.
Kwa hiyo kufanya kazi ni kutoweka mbolea shambani!Mkuu mnalalamika sana kwasababu tu ya ushungi wa mama. Vita dhidi ya Iran vimeathiri duniani kote. Kikubwa fanyeni kazi.
gallow bird ChoiceVariable (Dogo my take) Jagina mdogoee
adriz de mbusii
Upuuzi 🚮🚮Mkuu mnalalamika sana kwasababu tu ya ushungi wa mama. Vita dhidi ya Iran vimeathiri duniani kote. Kikubwa fanyeni kazi.
gallow bird ChoiceVariable (Dogo my take) Jagina mdogoee
adriz de mbusii
Wewe ni punguani,bei zipi za mazao zimeongezeka mara dufu na wapi huko? Wewe uliko bei ni kiasi gani au unaropoka tuu kama kawaida ya ujinga wenu?Acha porojo zako,
Kama uzalishaji wa mazao umeongezeka mara dufu kwa nini bei za vyakula zinazidi kuongezeka badala ya kushuka??
😂😂😂ChoiceVariable akirudi kutoka Russia atawaletea mbolea.
Mkuu tatizo ni ushungi wa mamaWewe ni punguani,bei zipi za mazao zimeongezeka mara dufu na wapi huko? Wewe uliko bei ni kiasi gani au unaropoka tuu kama kawaida ya ujinga wenu?
Jitu hata shamba hujui unakuja kuropoka tuu eti bei zimeongezeka,njoo nikuizie gunia 300 za mahindi Kwa 52,000 tuu Ili wewe ukauze ambako bei ziko juu upate faida.
Agro dealers hayo madeni wanamdai nani, Mbona husemi?Kutokana na hivyo na kwamba agro dealers Wana dai madeni kibao hakuna kiwanda kinazalisha mbolea ya ruzuku wakati hawajalipwa Kwa hiyo mbolea ambazo Hazina ruzuku Zenye bei kubwa ndio ziko sokoni ni Juu Yako wewe mkulima ununue au uache.
Siyo kweli kuhusu bei na kiwango cha chakula.Pili msimu huu wa 2026/27 ndio kabisaa mvua zimenyesha Nchi nzima Kila zao lipo ndio maana mazao yoote ya chakula bei zimeporomoka.
Wewe mpuuzi sasa hivi mchele wa kula binadamu unauzwa 3500 kilo.Wewe ni punguani,bei zipi za mazao zimeongezeka mara dufu na wapi huko? Wewe uliko bei ni kiasi gani au unaropoka tuu kama kawaida ya ujinga wenu?
Jitu hata shamba hujui unakuja kuropoka tuu eti bei zimeongezeka,njoo nikuizie gunia 300 za mahindi Kwa 52,000 tuu Ili wewe ukauze ambako bei ziko juu upate faida.
Mkuu wapi huko gunia 52k wakati huku nilipo linasoma 75_80kWewe ni punguani,bei zipi za mazao zimeongezeka mara dufu na wapi huko? Wewe uliko bei ni kiasi gani au unaropoka tuu kama kawaida ya ujinga wenu?
Jitu hata shamba hujui unakuja kuropoka tuu eti bei zimeongezeka,njoo nikuizie gunia 300 za mahindi Kwa 52,000 tuu Ili wewe ukauze ambako bei ziko juu upate faida.
Njoo unipe hata 50,000 Kwa gunia nitakushukiru sana.Mkuu wapi huko gunia 52k wakati huku nilipo linasoma 75_80k
Wewe ni mpumbavu,kalime uuze buku.Wewe mpuuzi sasa hivi mchele wa kula binadamu unauzwa 3500 kilo.
Hakuna mkulima angeacha kulalamika kama bei ya gunia iwe 40,000-50,000 kama ulivyoandika hapa.Hizo ndio bei zilizopo hata Sasa kwenye Mikoa ya mavuno na hatuzitaki maana sio bei ambazo tumezizoea,miezi hii ya mavuno Mikoa ya mahindi bei Huwa ni 56,000-65,000 Kwa gunia.Agro dealers hayo madeni wanamdai nani, Mbona husemi?
Siyo kweli kuhusu bei na kiwango cha chakula.
Mwaka huu vuli hakukuwa na mvua za kutosha na za kwa wakati sahihi.
Mavuno duni.
Bei ya unga wa sembe nilipo 1500/- haijashuka.
Wakati miaka yote miezi kama hii bei inakuwa 900 - 1000Tsh/1kg.
Huku gunia la mahindi 72,000/- miaka mingine 40,000 hadi 50,000/- tarehe hizi.
Umefanyaje au unataka uvae wewe?Mkuu tatizo ni ushungi wa mama
Ruvuma mahindi unajua bei gani kwa sasa?Hakuna mkulima angeacha kulalamika kama bei ya gunia iwe 40,000-50,000 kama ulivyoandika hapa.Hizo ndio bei zilizopo hata Sasa kwenye Mikoa ya mavuno na hatuzitaki maana sio bei ambazo tumezizoea,miezi hii ya mavuno Mikoa ya mahindi bei Huwa ni 56,000-65,000 Kwa gunia.
Mwisho mambo ya sijui vuli mara nini,hicho sio kitu Cha maana Kwa Serikali, Serikali huwa inaangalia Mikoa ya chakula ikiyumba huko ndio inastuka huko kwenu hata mkiwa na ukame wa Kila mwaka Cha kuhimili Ruvuma,Rukwa,Songwe,Kigoma,Katavi,Mbeya na Njombe mvua zinyeshe mtakula na mtasaza.
Kanda ya ziwa sio sehemu inayotegemewa na Nchi.Ruvuma mahindi unajua bei gani kwa sasa?
Miaka mitatu mfululizo iliyopita ilikuwa bei gani tarehe hizi?
Mimi DSM na viunga vya jirani yake ambao bei kubwa kuliko kawaida yake. Fuatilia mavuno na kanda ya ziwa. My
Nipo DSM na maeneo ya jirani.Kanda ya ziwa sio sehemu inayotegemewa na Nchi.
Bei nilizokupa ndio za Ruvuma na Mikoa yote ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Magharibi.
Huko kwenu hata mahindi yakiwa Laki ni sawa Cha muhimu zone za uzalishaji ziwepo.
Mwisho kabisa kilichopandisha bei huko kwenu Kanda ya ziwa na kilichoshusha sana bei Kanda za uzalishaji ni gharama za usafiri.(Kupanda Kwa Mafuta)
Unavyokuwa mbali na soko vs mbali na source ndivyo bei zita act.
Hio ni miradi ya watu, Tanzania kila kitu dili kila fursa ina wapigaji😂! Cha kuomba ni wewe kuwa on the upper hand ukiwa bongo, uwe kiongozi au msimamizi ila sio mlaji😂Habari zenu wakuu!!!
Naiomba wizara ya kilimo kupitia mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa Mbolea Tanzania, TFRA ijitokeze hadharani kuhabarisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ambao shughuli zao kubwa ni kilimo kuwa mbolea haipatikani ndani ya mipaka ya Tanzania.
Wakulima tunahangaika kutafuta mbolea maeneo mbalimbali bila ya mafanikio yoyote, mazao yanadumaa mashambani kwa kukosa mbolea ( za viwandani) . Nchi hii inajinasibu kuwa sekta ya kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa ila ukitazama kwa makini utagundua kuwa mkulima ndiye mtu wa mwisho kujaliwa ndani ya Taifa hili.
Ni zaidi ya miezi 3 sasa suala la upatikanaji wa mbolea limekuwa ni kipengele na hata ukifanikiwa kusikia sehemu kuna mbolea inauzwa basi bei ya mfuko mmoja sio chini ya shilingi 120,000 za kitanzania.
Kwa hali hii mnataka wakulima waache kulima ili utokee mfumuko wa bei ya mazao na maisha yazidi kuwa magumu. Wakulima wanaofanya kilimo cha umwagiliaji wanateseka kwa gharama za uzalishaji kuwa juu...Mbolea bei juu, Petroli , Dizeli na gesi bei zake zipo juu mno.
Wito wangu kwa serikali kupitia waziri wake wa kilimo ni kuwa wajitokeze hadharani kutupa majibu yakinifu kuwa ni lini mbolea itapatikana nchini Tanzania.?
Jambo la ajabu kabisa ni kuwa mbona majirani zetu wote wana mbolea? Kampuni za mbolea kama ETG Zambia ,Kenya , Uganda n.k ina mbolea ya kutosha ila kwa Tanzania ukiuliza unaambiwa mbolea hakuna.
JAMANI VIONGOZI SIKIENI VILIO NA MACHOZI YA WAKULIMA.
BILA YA WAO KULIMA NYIE MTAKULA NINI?
Asanteni.