Wizara ya Maendeleo Norway yakanusha taarifa ya Daily News kuhusu Tanzania na mapambano dhidi ya COVID-19


Bora hata huu ujinga wangeandika kwenye gazeti la kiswahili, tena la udaku na sio la kimalikia.
 
Aibu yao hii,kila kukicha wanamtukuza na kumuimbia bwana yule
 
Ushahidi wa walipokanusha upo wapi ?
 
Sijaona kanusho hapo,walichofanya wameongezea ambacho labda hakikusemwa
 
Tatizo la Lumumba ni lugha
 
Mimi nashangaa sana hizi propaganda kwenye magazeti na TV. Yaani wanajaribu kuonyesha eti nchi zote zinatamani Tanzania! Eti imepambana na vita ya corona kwa nguvu sana! Wakati haikufanya kitu. Hata kuvaa barakoa tunakatazwa halafu etu nchi nyingine zinatamani Tanzania kwa vita yake ya corona!
 
Wizara ya maendeleo ya Norway imekanusha wapi? Katika maelezo yapi? Humu kumejaa vilaza kweli.
 
Unawashwa sana wewe dada,kulikoni hizo gololi?
 
Nyie ndio bado mnavishangaa hivi vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali na ccm.

Wao kosa tu viongee na mzungu yeyote pasipo watu au hadhira kuwepo lazima watamuundia maneno ya uongo kwamba kaunga mkono juhudi.

Hivi vyombo vya habari havina tena maadili na vimepoteza kabisa mwelekeo na vile vile vimebaki kufuatiliwa na wanafiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…