Wizara ya Maendeleo Norway yakanusha taarifa ya Daily News kuhusu Tanzania na mapambano dhidi ya COVID-19

Hii ni Kiki Kama Ile ya chadema tu yskusema membe smeomba kujiunga nao
 
Mbona hujaleta copy ya Daily News ili tuone kama kweli. Pia mbona hapo sioni wakikanusha taarifa ya Daily News kama ulivyotaka kuwaaminisha wanasaccos wenzio?
 
Mbona ndo kawaida yao hao...
Wazee wa mapambio ya kusifu
 
Mbona hujaleta copy ya Daily News ili tuone kama kweli. Pia mbona hapo sioni wakikanusha taarifa ya Daily News kama ulivyotaka kuwaaminisha wanasaccos wenzio?
rudia tena kusoma uzi.

kama vipi piga magoti kwa "yesu wa Chamwino" akufunulie!
 
Hiyo habari ya Daily news mbona haipo?
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 wame dhalirika kishamba kweli.
 
Kuna jirani yangu jana asubui anakuja home kwa furaha eti Norway wamesifia juhudi za kumaliza corona kumbe uongo aisee
 
dah wabongo tunakuza vitu
 
Huyu balozi atakuwa anatumiwa na mabeberu! Wakati dunia inamtambua jpm kama mfano wa kuiga dunia nzima yeye anataka kusema nini?
Nchi sasa hivi inaongoza kwa uchumi mzuri na kuboresha kwa kiwango cha juu maisha ya wafanyakazi na wakulima yeye anataka kusemaje? Asituambie kitu, sisi kwa kutununulia mandege tumepanga kumfanya was maisha. Asubiri tujipitishe uchaguzi Hui kisha Messy alete tens hiyo hoja na tutampitisha atake asitake.
Sisi tumeona ndani ya Chama "chetu" hakuna mwenye akili kumzidi labda akifuatiwa kwa mbali na Kabudi, huyu ni kama 'yesu' kwetu na ndio maana mkuu wetu was mkoa mmoja alisema "tumuite mungu (small capital) aje amshukuru huyu kwa utendaji uliotukuka"
Note;
Wakati naanza kuota ndoto hii ilianza eti nimeunga mkono juhudi! Lah, hapa lazima kuna malaria ngoja niwahi dawa private hospital maana Govt najua hakuna dawa MSD hawajalipwa zaidi ya 250B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…