FamousinTown
Member
- Aug 15, 2021
- 61
- 37
Wasalaam ,kwa Wanajukwaa wote imekuwa ni kipindi kirefu tangu vijana waajiriwe tangu mwaka 2018 ,sasa Tunawaomba Sana mhe waziri Atuangalie vijana tuohitimu mafunzo tangu mwaka 2020 hatujaajiriwa tangu tuhitimu na ukizingatia kuna takribani hifadhi mpya NNE zilianzishwa na bado hazina watumishi wa kutosha..Natumai wahusika mtaliona hili na Hasa vijana waliohitimu chuo cha Mweka na Pasiansi.