FamousinTown
Member
- Aug 15, 2021
- 61
- 37
Nashukuru Sana ndugu kiongozi ,kwa kuliona hili na kutupa faraja na kulishughulikia swala hiliTutalifanyia kazi.
Kama Kuna sehem huko kitaan jishikize tu muda ukifika utasikia tu
Hizo mia tano ni za 2019 ,na hawakuchuliwa wote ,ila shukrani mkuu inshaallah tunasubiri huo mkeka tukalitumikie Taifa letu maana viapo tumekwisha kula kitambo tu2018 ???? Mkuu hii sio kweli bhana kwa nadhani mwaka huu wa serikali ndo hawajatangaza ila mwaka jana 500 nafasi zilitangazwa tanapa....
Kimbembe ni sheria mpya za jeshi USU umri mwisho miaka 25 hawa watu jaman yaani wakishakuwa na mamlaka hawafikirii straight! Imagine kuna watu wako kitaa kuanzia 2015 magu hakuwahi tangaza ajira, sasa sijui miaka itakuaje ngoja tuonee....
Anyway za chinichini naskia September au October wanamwaga mkeka wa maana tuu
All the best mhifadhi
Hizo mia tano ni za 2019 ,na hawakuchuliwa wote ,ila shukrani mkuu inshaallah tunasubiri huo mkeka tukalitumikie Taifa letu maana viapo tumekwisha kula kitambo tu