Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tuna tawala mbovu kabisa ambazo hazina mipango hapa Tanzania.Kwa mda mwingi ilikuwa inatumika kama Game Reserve! Saivi wamegawanya upande ni hifadhi ya Nyerere upande mwingine imebaki kuwa Game Reserve.
Ruaha National Park iko Iringa upande wa kulia kuelekea Mbeya. Inapakana na Wilaya ya Mbarali Kama sikosei Kwa Mbeya