Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

Tuna tawala mbovu kabisa ambazo hazina mipango hapa Tanzania.
 
Mbona pato kuu la Zanzibar ni utalii? sisi kinachotutesa ni mipango mibovu, ufisadi, kujuana na serikali kubwa isiyo na manufaa kwa wananchi.
Shida sio mipango mibovu

Shida ni watendaji wasio wabunifu, uvivu na ushamba
 
Mbona hatunufaiki sasa na utalii wenyewe? Zanzibar hakuna mbunga lakini utalii ndiyo unaingiza zaidi 80% pato la taifa
unajua serkali yetu imekalili utalii ni mbuga za wanyama na mlima kilimanjaro! Watu smart walitakiwa kufikiri zaidi ya hapo! Ndo maana tunakimbizana na Rwanda wakati sisi ni nchi kubwa na vivutio vyetu ni vingi kuliko wao!
 
Hata izo mbuga za Wanyama tu hatujazi utilize vya kutosha kupelekea kutupa mafanikio tunayostahili.

Hapo hatuja utilize bahari na fukwe na utamaduni
 
unajua serkali yetu imekalili utalii ni mbuga za wanyama na mlima kilimanjaro! Watu smart walitakiwa kufikiri zaidi ya hapo! Ndo maana tunakimbizana na Rwanda wakati sisi ni nchi kubwa na vivutio vyetu ni vingi kuliko wao!
Tatizo ni mfumo mbovu wa nchi
 
Mikumi ni mbuga kongwe, wanyama wanatembea kusaka malisho kwa hiyo mara nyingine kuwaona ni kwa mbinde
 
Ni kongwe, mito ni mingi iliyopo kule inasaidia wanyama waonekane kirahisi pia movement za wanyama ni kubwa maana NCAA ipo karibu na Serengeti
Kuna njia ya kuboresha hayo! Mabadiliko ya tabia nchi yameketa ukame sana! Swali ni Je wanafanya nini kutibu Tatizo la maji?

Ndo mana nimeuliza kwenye mada kuu wanechimba mabwawa mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…