Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaasa viongozi wa kidini kutojihusisha na kampeni za kisiasa kwa kuwaambia waumini wao kuhusu viongozi wa kuwachagua bali wabaki kuhubiri amani, upendo na umoja...
Kabla ya Ponda kuibuka katika kampeni za Lissu mbona hatikuyasikia haya, hatukuona barua hizo wakati Al-Had Mussa na Zuberi wanataradadi na genge lao la kinafiki kwa jina la BAKWATA kwenye kampeni za CCM?
Hatukuisikia hii barua wakati Al-Had Mussa akiwaongoza waislamu kumchagua Magufuli kwa jina la Yesu, acheni double standard mgejua hapo ndio wananchi wanazidi kuwachukia
Kudadeki Ponda kawashika kende shuwaini wakubwa nyie na hao Inzil wenu wa BAKWATA safari hii mnang'oka hata mfanyeje tunawafyeka sisi wananchi ndio tunaamua tumchague nani
Mlijifanya wababe kwa miaka mitano mlifikiri jua linasimama, mkasahau kuwa linazama na kuchomoka kila siku, haya mitano imekwisha mnaanza kujeletaleta na maneno ya sukari
Mwambieni apige PUSH UP si ndio zilimuweka madarakani akajiona mbabe anateka watu, akapoteza watu, akaua watu, aka dhuluma watu Nadhani mnakumbuka balaa la Bureau de Change na dhuluma iliyofanywa na mtoto wake Makonda
Tunakumbuka alivyo bambikia watu kesi za madawa ya kulevya buuure bila sababu akafikiri miaka mi 5 haaishi Mxieusssszzzz atupishe hatumtaki tena aende zake
Kwa kipindi hichi cha kampeni tuburudisheni vijana na CCM Fiesta yenu angalau tuburudike baada ya ukata na ugumu wa maisha kwa miaka mitano then mkimaliza, tarehe 28 October tunawachinjaaaaa kweupeeeeeeee!!!