Endelea kujifariji.....
Kati ya hao Watanzania labda kama hawako jamii hii ifuatayoSisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Kati ya hao Watanzania labda kama hawako jamii hii ifuatayo
-Walioumizwa na Kikokotoo...
Waanze na Gwambina eti sorry Gwajima.mchngaji anafanyaje siasa.na serikaki inaruhusu maasikofu kugombea?shida imeanzia hapo bwasheeeTena naona yule shehe ambaye anahubiri mambo ya Muhamadi na Yesu kwapamoja wamuite akajieleze.
Amechanganya hata baadhi ya waumini.
Huyo ni chaguo lao, hii habari inamlenga Ponda na Mwingira.Tena naona yule shehe ambaye anahubiri mambo ya Muhamadi na Yesu kwapamoja wamuite akajieleze.
Amechanganya hata baadhi ya waumini.
Mwakyembe dawa imemwingia vizuri sana, bado anasikilizia maumivuHuyo Simbachawene kaandika hiyo barua kama nani. Je ana uhakika wa kushinda? Alipaswa kutulia kama alivyo rafiki yangu Mwakyembe
Amebweka lakini tumempuuzaHuyu nae kaona asipitwe bila kubweka.
Haswaa,Viongozi wa dini waliitisha kongamano na mgeni akawa waziri mkuu,lengo la kongamano ni azimio lao la kumuunga mkono JPM katika uchaguzi mkuu huu! Hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya jambo hilo na ilikuwa halali kabisa!...
Kabla ya Ponda kuibuka katika kampeni za Lissu mbona hatikuyasikia haya, hatukuona barua hizo wakati Al-Had Mussa na Zuberi wanataradadi na genge lao la kinafiki kwa jina la BAKWATA kwenye kampeni za CCM?Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaasa viongozi wa kidini kutojihusisha na kampeni za kisiasa kwa kuwaambia waumini wao kuhusu viongozi wa kuwachagua bali wabaki kuhubiri amani, upendo na umoja...
Huu uonevu kuna kitu kinaitwa Arab Springs. Hawawez wakanielewa sababu lugha hawaijui nlotumia.Yani cha ajabu matamko hutolewa pale tu wapinzani wakifanya jambo. BAKWATA usiku na mchana inahamasisha watu wachague CCM hilo halikuwa kosa na maisha yaliendelea kama kawaida. Kwa vile Ponda kapanda jukwaa la upinzani basi ghafla sheria imechukuwa mkondo wake.
Kazi mzuri!Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaasa viongozi wa kidini kutojihusisha na kampeni za kisiasa kwa kuwaambia waumini wao kuhusu viongozi wa kuwachagua bali wabaki kuhubiri amani, upendo na umoja....
Pia viongozi wote wa dini na siasa huishi kwa kutegemea jasho la mlalahoi.Hapo sasa, kwanza wanaombea wanasiasa kwenye mikutano, bungeni ni sehemu ya siasa. Dini na siasa ni part and parcel kwasababu zote zinahusu mustakabari wa maisha ya binadamu.
Kishindo cha shehe Ponda kimetikisa haswa
Huu uonevu kuna kitu kinaitwa Arab Springs. Hawawez wakanielewa sababu lugha hawaijui nlotumia. Kuna kitu kingine kinaendelea Nigeria kwa sasa. Hii nayo hawawez jua sababu siasa za kimataifa hawazifatilii.Huyu alianza zamani, ila kishindo cha Shehe Ponda kimehit mpaka wizara ya mambo ya ndani, TISS, NEC 😂😂
Walitenganisha siasa na kazi yao ya kichungaji pale walipomsimamisha yule padri wa kagera! Wao nadhani wamechukua nafasi ya kuwa waangalizi.Hivi viongozi wa kikatoliki kwenye uchaguzi huu mbona hawaonekani kwenye matamko?
Yaani Rashidi Gwajima, aache kuwaomba kura kondoo zake? Kweli? Basi kosa lilikuwa kutokubaliana na maoni ya "wajumbe"Kuingilia kati kwa Wizara katika suala hili ni sahihi kabisa. Wizara ingekuwa imetoa onyo hilo mapema zaidi. Ikumbukwe kwamba waumini wanaunga mkono vyama tofauti. Utakuwa unawaweka njia panda wale ambao wanaunga mkono mwanasiasa tofauti na yule unayemhubiria wewe. Hivyo bora kiongozi wa dini ajikite kwenye kuhubiria dini tu ingawa yeye binafsi anabakia na maono yake kuhusu nani atampigia kura. Hiyo ibakie siri yake ili asiwakwaze waumini wake wenye maono tofauti.
Yule padri wa Kagera ni mkatoliki?Walitenganisha siasa na kazi yao ya kichungaji pale walipomsimamisha yule padri wa kagera! Wao nadhani wamechukua nafasi ya kuwa waangalizi.
Haswaa........Tena naona yule shehe ambaye anahubiri mambo ya Muhamadi na Yesu kwa pamoja wamuite akajieleze.
Amechanganya hata baadhi ya waumini.