Uchaguzi 2020 Wizara ya Mambo ya Ndani yawataka Viongozi wa Dini kutofanya kampeni

Waiandikie barua Bakwata na nakala CCM na masista wa Bikira Maria Kilimanjaro.
 
..Simbachawene ni mgombea ktk uchaguzi huu.

..angekuwa na busara angemuachia Katibu Mkuu wa Wizara atoe taarifa hiyo.
Sahihi kabisa!. Bunge likivunjwa wizara zote huendeshwa na Makatibu wakuu sasa inashangaza simbachawene uwaziri kautoa wapi!, Hawa wameshazoea kuvunja katibu sasa dawa yao tarehe 28 ni kuwafyeka wote
 
Kuhimiza waumini kumchagua Lissu ni udini? Lissu Muislamu? Islam bloc vote for Lissu. Tanzania oyee
 
Gwajima siyo tu anampigia debe Magufuli na CCM yote bali anataka achaguliwe Yeye mwenyewe! Wizara Kimyaaa! Mara Rwakatare (marehemu). Mara Augustino Ramadhani (marehemu - mchungaji). CCM NI SHIIIIDAAAA !
 
Wangespecify kutofanyia kampeni vyama vya upinzani hasa CDM na ACT mbona wanazunguka zunguka wakati CCM ndio wavunja sheria wakubwa na hakuna hatua wanachukuliwa
 
Hivi Askofu Gwajima siyo kiongozi wa dini? Atafanyaje au atatumia njia gani kuwafikia wapiga kura wa Kawe ili wampigie kura kama siyo kwa njia ya kampeni.
 
Usaliti ni laana ? Huko Chadema huwa mnashughulikiana?
Fafanua kushughulikiana unamaanisha Nini? Kama kushughulikiana unakomaanisha magu hajawashughulikia kina kinana, makamba zote na mangula mliyemlisha kasumu ka panya na membe? Akili yako ni kipofu haioni! Subiri magu amalize uchaguzi kwa matokeo ya aina yoyote uone Kama wewe polepole na bashiru mtakavyofurushwa na kutupwa jalalani mlikookotwa! Sali Sana kwani yafuatayo hayatakufurahisha na huenda ukaishia jela kwa kesi ya kutakatisha fedha!
 
Naona Shehe Ponda kawashika pabaya wanadhani anatania ana wafuasi wengi sana, na wanamsikiliza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…