THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Kwa hiyo hata waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania ambaye kidini nae ni Muislamu, kawasingizia Hamas kwa mauaji? Kwa hiyo wakiua Israel ni kweli, ila wakiua Hamas, wamesingiziwa? Fuatilia video mbalimbali uone namna HAMAS wanavyoua mateka.
View attachment 2846023
WEWE MGALATIA USIO NA AKILI,TUMIA HATA CHEMBE ULIZONAZO
YEYE AMEKUAMBIA KUWA WAMEPATA TAARIFA KUTOKA UBALOZI WA ISRAEL KUWA HUYO MTZ KAUWAWA NA HAMAS,MIND YOU TAARIFA HIYO IMETOKA KWA ISRAEL HASIMU MKUBWA WA HAMAS...
UNAPROVE VIPI KUWA NI TAARIFA YA KWELI??AU SIMPLY BECAUSE KASEMA ISRAEL WEWE NDIYO UAMINI KUWA NI SAHIHI??
TUAMBIE CHOMBO GANI CHA ZIADA DUNIANI IMERIPOT TAARIFA HIYO ZAIDI YA HUO UBALOZI WA ISRAEL??