Mungu wa haki haamui kwa chuki kama wewe na anajua kila kitu hadi vilivyoko kwenye mioyo yetu tunaomba uwadhalilishe israel wauane wenyewe kwa wenyewe kama walivyochanganyikiwa na kuua mateka wao na walipie kila damu ya innocent palestines wanayoitoaFrom North to South HAMAS terrorists watauwawa kama vilivyoua vijana wetu Joshua na Clemence. Mungu ibariki ISRAEL iifute HAMAS kwenye uso wa dunia.
kijana wa madrasa huyu(lazima)Muwe mnatumia akili anachojaribu kufanya huyo muisrarl ni kuwademonize hamas ila hatofanikiwa maana jumuia ya kimataifa inafuatilia kila kitu hata mbo wanayojaribu kuyaficha , hao israel wameua hadi raia wao kwa kudhania ni wapalestina wakati walikuwa wakiomba msaada waokolewe , juzi wameua wanawake wawili kanisani bila ya sababu bado unaona waisrael ni watu wa maana? Hadi sasahivi familia ya joshua wala any credible source ikiwemo wizara ya mambo ya nje ya tanzania haijathibitisha wewe unakimbilia na habari za udaku
Ni kweli nimesoma sana madrassa vipi una tatizo na hilo?kijana wa madrasa huyu(lazima)
Hiyo cip naomba na mimi nione mkuuFyeka mbali HAMAS... Mazayuni wamekuwa watu wetu wa karibu toka enzi na enzi, hata baada ya Nyerere kuwaletea shit ila bado wamekuwa nasi karibu...mimi nina mchizi wangu mpaka sasa yuko Israeli, tena chini ya uangalizi wa jeshi.
View attachment 2846043
Yaani jinsi ulivyo unatamani wakristo wote duniani wafe wabaki wavaa makoboziNIMKATE KICHWA ILI INISAIDIE KITU GANI WEWE KAFIRI??
NAKUULIZA TOA MAJIBU,TUPE UTHIBITISHO KUWA HUYO JAMAA KAULIWA NA HAMAS UNAJAMBA JAMBA TUH HAPA,KAMA HAUJUI KINACHOENDELEA KAA KIMYA MUIMBA KWAYA WEWE
UNA UTHIBITISHO GANI KUWA HUYO JAMAA KAULIWA NA HAMAS??Yaani jinsi ulivyo unatamani wakristo wote duniani wafe wabaki wavaa makobozi
Wewe ungekuwa Hamasi ungekutana na Joshua tena na hv anaitwa Joshua yaani sio kumchinja tu ungemkatakata vipande kabisa
KabisaIngekuwa Serikali inayo jali,huyo balozi angetimuliwa
Ajabu sana hiiSasa magaidi wanakuaje na ubalozi kwenye nchi yetu?
Wewe una source nyingine yenye kuthibitisha madai yako?HAYO MAUAJI WAMEFANYA HAO WENYEWE MAGAIDI WA TAIFA TUELE LA MUNGU KISHA WANASEMA NI HAMAS,PROPAGANDA ZA KIPUUZI KABISA
MIMI SINA,NDIYO MAANA NATAKA WEWE UNAOSEMA HAO NI HAMAS UTUPE,NA SIYO TAARIFA YA HILO TAIFA TEULE LENYE LAANA YA MUNGUWewe una source nyingine yenye kuthibitisha madai yako?
Kama unayo please iweke hapa tujiridhishe kama huna acha kubwabwaja.
UNajua hata wewe wangekuua? Hata ungeswali uchi wewe kwao ni SLAVE ABIDI unajua hilo hawajali sijui wewe ni Mwisilamu au Mkiristo au Mpagani wewe kwao ni ASWAD NEGRO adui.MIMI SINA,NDIYO MAANA NATAKA WEWE UNAOSEMA HAO NI HAMAS UTUPE,NA SIYO TAARIFA YA HILO TAIFA TEULE LENYE LAANA YA MUNGU
Nyerere alikua anawachezea shere waarabu,,,kila siku JWTZ walikua wanapeleka maafisa kusoma IsraelNyerere cut ties with all of Israel's allies to support Palestine just for them to give us this payback. Smh
Kwahiyo hao sio hamas ni konde gang.MIMI SINA,NDIYO MAANA NATAKA WEWE UNAOSEMA HAO NI HAMAS UTUPE,NA SIYO TAARIFA YA HILO TAIFA TEULE LENYE LAANA YA MUNGU
Waisraeli ni wastaarabu sana.Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.
Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna mtanzania kapata shida katika hiyo vita.
View attachment 2845971
Hata hivyo Tanzania inaitambua Palestina kama Nchi huru, na Palestina inaubalozi wake jijini Dar es salaam. Lakini Ubalozi huo umekuwa hautoi pole wala habari yoyote ya watanzania wanaopitia shida huko Palestine. Na ubalozi huo haujatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya vijana wa kitanzania waliouwawa na wanamgambo wa kipalestina wanajulikana kama HAMAS.
Ubalozi huo haupambanii hata vijana wetu waliotekwa na wapalestina waachiwe. Yani wapo tu hapa Tanzania kama galasha, wanajua fika kabisa kwamba Watanzania wametekwa na kikundi chao cha Hamas ila wamekaa kimya