Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

From North to South HAMAS terrorists watauwawa kama vilivyoua vijana wetu Joshua na Clemence. Mungu ibariki ISRAEL iifute HAMAS kwenye uso wa dunia.
Mungu wa haki haamui kwa chuki kama wewe na anajua kila kitu hadi vilivyoko kwenye mioyo yetu tunaomba uwadhalilishe israel wauane wenyewe kwa wenyewe kama walivyochanganyikiwa na kuua mateka wao na walipie kila damu ya innocent palestines wanayoitoa
 
Muwe mnatumia akili anachojaribu kufanya huyo muisrarl ni kuwademonize hamas ila hatofanikiwa maana jumuia ya kimataifa inafuatilia kila kitu hata mbo wanayojaribu kuyaficha , hao israel wameua hadi raia wao kwa kudhania ni wapalestina wakati walikuwa wakiomba msaada waokolewe , juzi wameua wanawake wawili kanisani bila ya sababu bado unaona waisrael ni watu wa maana? Hadi sasahivi familia ya joshua wala any credible source ikiwemo wizara ya mambo ya nje ya tanzania haijathibitisha wewe unakimbilia na habari za udaku
kijana wa madrasa huyu(lazima)
 
Fyeka mbali HAMAS... Mazayuni wamekuwa watu wetu wa karibu toka enzi na enzi, hata baada ya Nyerere kuwaletea shit ila bado wamekuwa nasi karibu...mimi nina mchizi wangu mpaka sasa yuko Israeli, tena chini ya uangalizi wa jeshi.

View attachment 2846043
Hiyo cip naomba na mimi nione mkuu
 
waziri wa mambo ya nje yupoo tuu hakuna tamko...ubalozi nao kama kawaa wanalambaa miguu tu ya waarabu umaskini laana aiseee
 
Acheni uzwazwa
Tatizo mtoa mada ni mdini sana, na inafika mahali anaacha natural thinking anabase kwenye dini tu.
Palestina ni adui wa Israel, Tanzania ina urafiki na Israel kiasi cha kupeleka NDUGI ZETU WAKASOME HUKO.
Adui wa mtu tuliyempa mtoto wetu amlee amemuuwa mtoto wetu kisa kaonekana na nyumbani kwa adui.
Palestina haiwezi kuomba radhi kwa mazingira hayo na wala hawashurutishwi popote kusema lolote.
Sisi tuhoji serikali yetu, kwanini inapeleka ndugu zetu huko kwenye nchi ya kuishi roho mkononi?
 
NIMKATE KICHWA ILI INISAIDIE KITU GANI WEWE KAFIRI??

NAKUULIZA TOA MAJIBU,TUPE UTHIBITISHO KUWA HUYO JAMAA KAULIWA NA HAMAS UNAJAMBA JAMBA TUH HAPA,KAMA HAUJUI KINACHOENDELEA KAA KIMYA MUIMBA KWAYA WEWE
Yaani jinsi ulivyo unatamani wakristo wote duniani wafe wabaki wavaa makobozi
Wewe ungekuwa Hamasi ungekutana na Joshua tena na hv anaitwa Joshua yaani sio kumchinja tu ungemkatakata vipande kabisa
 
Yaani jinsi ulivyo unatamani wakristo wote duniani wafe wabaki wavaa makobozi
Wewe ungekuwa Hamasi ungekutana na Joshua tena na hv anaitwa Joshua yaani sio kumchinja tu ungemkatakata vipande kabisa
UNA UTHIBITISHO GANI KUWA HUYO JAMAA KAULIWA NA HAMAS??
 
Walipolipua balozi za USA Tanzania na Kenya wala hawakujali watakaokufa ni raia waafrika zaidi, yaani hawa waarabu ni mashetani kweli kweli, dawa yao ni kutumia mbinu hizo hizo za kigaidi unconventional warfare kuwamaliza otherwise wataendelea tu. Israel isiangalie raia wala wanawake wala watoto kunakotoka moto walipue tu.
 
Watu walikaribishwa kama wakimbizi mwaka 1947 kutoka ulaya katika nchi ya palestina leo waliowakaribisha ndio wamegeuka kuwa wakimbizi. Hii reference ni Google na inamilikiwa na muyahudi Lawrence.
 
Attachments

  • Screenshot_20231218_141320_Google.jpg
    Screenshot_20231218_141320_Google.jpg
    139.1 KB · Views: 1
Hivi huyu balozi wa palestina bado hajafurushwa hapa nchini? jambo hili linatia shaka sana.
 
HAYO MAUAJI WAMEFANYA HAO WENYEWE MAGAIDI WA TAIFA TUELE LA MUNGU KISHA WANASEMA NI HAMAS,PROPAGANDA ZA KIPUUZI KABISA
Wewe una source nyingine yenye kuthibitisha madai yako?

Kama unayo please iweke hapa tujiridhishe kama huna acha kubwabwaja.
 
Wewe una source nyingine yenye kuthibitisha madai yako?

Kama unayo please iweke hapa tujiridhishe kama huna acha kubwabwaja.
MIMI SINA,NDIYO MAANA NATAKA WEWE UNAOSEMA HAO NI HAMAS UTUPE,NA SIYO TAARIFA YA HILO TAIFA TEULE LENYE LAANA YA MUNGU
 
MIMI SINA,NDIYO MAANA NATAKA WEWE UNAOSEMA HAO NI HAMAS UTUPE,NA SIYO TAARIFA YA HILO TAIFA TEULE LENYE LAANA YA MUNGU
UNajua hata wewe wangekuua? Hata ungeswali uchi wewe kwao ni SLAVE ABIDI unajua hilo hawajali sijui wewe ni Mwisilamu au Mkiristo au Mpagani wewe kwao ni ASWAD NEGRO adui.

Ndugu yangu Mwafrika amka...
 
MIMI SINA,NDIYO MAANA NATAKA WEWE UNAOSEMA HAO NI HAMAS UTUPE,NA SIYO TAARIFA YA HILO TAIFA TEULE LENYE LAANA YA MUNGU
Kwahiyo hao sio hamas ni konde gang.
NB: MUNGU WA KIARABU ALLAH KAWALAANI WAYAHUDI.
MUNGU WA KIEBRANIA JEHOVAH KAWABARIKI WAYAHUDI.
🤣🤣😂😂😂😂NGOMA DROOO
 
Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.

Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna mtanzania kapata shida katika hiyo vita.
View attachment 2845971

Hata hivyo Tanzania inaitambua Palestina kama Nchi huru, na Palestina inaubalozi wake jijini Dar es salaam. Lakini Ubalozi huo umekuwa hautoi pole wala habari yoyote ya watanzania wanaopitia shida huko Palestine. Na ubalozi huo haujatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya vijana wa kitanzania waliouwawa na wanamgambo wa kipalestina wanajulikana kama HAMAS.

Ubalozi huo haupambanii hata vijana wetu waliotekwa na wapalestina waachiwe. Yani wapo tu hapa Tanzania kama galasha, wanajua fika kabisa kwamba Watanzania wametekwa na kikundi chao cha Hamas ila wamekaa kimya
Waisraeli ni wastaarabu sana.
 
Back
Top Bottom