macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hivi ninyi mnaona aliye-publish ile video ni mtu mzuri? Hamuoni anamdhalilisha marehemu na familia yake?At least wajitetee... Yani tumepa Ubalozi, tumeitambua Palestina kama Nchi lakini wao hata ubalozi wao kusema pole hawasemi, hata kubembeleza Hamas wawaachie Watanzania hawataki...
Israel tumewasusia kitambo, mpaka wakafunga Ubalozi wao hapa Tanzania, ila bado likitokea jambo kuhusu watanzania, wanakuwa mstari wa mbele kutoa taarifa