antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Vipi kuhusu gesi (ambayo ni jamii ya mafuta), madini, utalii, uvuvi, misitu, bandari, nk..?Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu.
Tuache visingizio, tatizo ni ufisadi mkubwa wa ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu gesi (ambayo ni jamii ya mafuta), madini, utalii, uvuvi, misitu, bandari, nk..?Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu.
Ukitaka kujua kuwa tuna watu wa hovyo wasio na akili hata chembe uthibitisho mmoja wapo ni ule uchafu na ujinga wanaofanya wizara ya ujenzi na tanroads kwenye ile barabara ya posta hadi Airport/Gongo la MbotoNimeshangaa sana jana kupita hiyo barabara kutoka gongo la mboto mpaka posta,
Sikuamini kama hii nchi yetu tuna viongozi au hata sielwei nini hasa,
Labda ushamba sugu fulani,
Maana unashindwa hata kuelewa , hivi kweli hiyo barabara imejengwa miaka zaidi yarobaini, ndio miaka 40, Airport to city centre, ikiwa hivyo hivyo njia mbil, halafu leo baada ya miaka yote hiyo tena kipindi ambacho magari waliokuwa wsnamiliki ni wahindi na wstu binafsi wachache tu( Madocta na maafisa wa jeshi na pick up zao) halafu leo miaka 40 unafumua barabara nzima kwa ajili ya kuweka barabara ya mwendokasi tu?, hii ni akili au matope.
Ndiyo sababu tunasema, wale wanaodai ccm imechoka na haifai tena wasikilizwe, wana hoja ya msingi.Hizo rasilimali zetu siyo za kwetu tena. Umesikia hata hiyo SGR, bwawa la Nyerere, bandari nk tunatarajia kuwapa watu au kampuni binafsi tunaowaita wawekezaji. Hiyo gesi tayari tuliwapa wawekezaji kipindi cha awamu ya nne, siyo ya kwetu tena na hutubidi ili kuitumia tuinunue kwa bei mbaya kutoka kwa hao wawekezaji. Madini tulishawapa wawekezaji kipindi cha awamu ya tatu. Wakina Kitila Mkumbo hawana cha kufanya isipokuwa kutegemea tu tozo.
Kweli Mkuu, aliibeba Wizara ya Ujenzi mabegani.JPM alikuwa ni genius sana, yule mzee nilimkubali sana.
Sahihi kabisaAlaumiwe CCM na Nyerere
Hiyo ni sifa unwapa,Huku wazee wa 20%
Angola wana mafuta sisi tuna madini, gesi na mbuga za wanyama.Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Wewe ni Mp.umba.Vu na ni Ms.engeAngola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Hahahaha msameheWewe ni Mp.umba.Vu na ni Ms.enge
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Unadhani hajui? Usikute ni mtumishi wa Wizara ya Ujenzi au Tanroads anatetea ujinga wao humu
Ni akili zao fupi tu. We fikiria tu kwa akili ya kawaida tu, katika karne hii ya 21 unawezaje kujenga upya barabara ya Posta hadi Uwanja wa ndege alafu unaiwekea njia mbili kila upande? Kwenye jiji lenye watu Mil sita kasoro??
Hizi ni akili au matope?
Kesho wazungu wakituita manyani tunakasirika?
He was right for sure"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Wao akili zao zinaishia kwenye rushwa pekee kwingine hawataki kujua, kutwa wapo nje ya nchi kujifunza sijui huwa wanajifunza kitu gani?Hiyo ni sifa unwapa,
Kwani hawawezi kichukua hiyo 10% na bado wakajenga kitu chenye dizaini,
Nimepata coco bench,
Mpaka nikashangaa hawa jamaa zetu wasomi,
Hivi kweli ule ufukwe ndio wa kuweka vile vibanda kweli?
Hata kama wenyewe hawana akili hiyo ya kupendezesha eneo kile,
Kwa nini wasibe ramani nzuri( hawana haja ya kuiba si zimejaa tele kwenye google) na wakampa mwekezaji akajenga vitu vya maana kama wenyewe hata kitu kidogo kile wanashindwa.
meko angemaliza mihula wake wa pili tungeongea lugha Moja uko mbeleniAngola Luanda imejengeka bwana wale jamaaa km isingekua vita naona ingekua ulaya ndogo ya africa ww jiulize wamekuja kutulia mwaka 2000 ila ndo pamejengeka hatari miundo mbinu iko safiii Namibia ka nchi ka watu kidogo kanatuzidi miundo mbinu yaaan sisi tatizo ni viongozi ni majizi na majambazi yalio kalia ofisi za uma
Tangu aondoke madarakani miaka 38 ilitosha kuleta madiliko lkn wp, walaumiwe wote....Magu apunguziwe lawama jidogo kwani alijaribu japo kidogoYule mzee a
Huyu mzee angemsikiliza Kambona na akajishusha tungekuwa mbali sana. Ila kwa haya ya sasa wala tusimlaumu hayupo
Uongo kivipi?Punguza uongo
Kwani lazima kuwa naafuta.sisi tuna rasilimali nyingi shida ni weziAngola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.