Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Wakuu msije mkasema nina wivu, ila inaniuma kama mTanzania.
Ipo hivi...
Unapo shuka kuelekea kukata ticket kama mwenda kwa miguu, pale unakutana na mtoa huduma akiwa tayari amesha kata tickets nyingi na anachokifanya ni kukupa (abiria ticket) kisha anakupa na chenji yako na unaondoka.
Baada ya hapo, unapoifikia ile sehem ya ku beji ili uingie ndipo picha linapo anzia. Pale kwanza zile sensors hazifanyikazi na badala yake kwa pembeni kuna mtu anaepokea stakabadhi ili aithibitishe na kisha aichane. Lakini badala yake unakuta yule mkaguzi anapokea tickets na wakati huo anajifanya kama yupo busy na simu (ili asiichane) na kusha anazikusanya zile stakabadhi na mwisho anazirudisha kwa yule muuzaji wa tickets pale ambapo abiria huingilia.
Sasa hapa panakua na connection link kati ta muuza tickets na mkagua tickets.
Kazi ya mkaguzi kwenye wizi ule ni kukagua na kujifanya yupo busy na simu yake halafu anazirudisha zile tickets kwa muuzaji, hapo wote wanaangalia timing wakati abiria wanakua hawajapanga foleni wakati huo wakisubiria fery nyingine iwadie.