sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka....
Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama manne hivi yalivunjwa kwa huu mtindo.