Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

Mida ya wezi ndiyo hii sasa

4:57

Sahv kuna watu wanaumizwa

Ova
 
Hii ndo komesha ya wezi hata wakifungua makufuli na kupuliza dawa za usingizi hawatofanikiwa kufungua milango
Sasa kama wana ile gas si wataenda kuchoma grill ya dirisha afu wanai gilia drishan
 
Milango dabo door si salama ni rahisi kuifungua komesha weka kigingi kwa ndani tumia bomba pigilia ukutani weka na lock kabisa, dizaini ya fatuma za zamani hata wakifungua makufuli hawawezi push bomba linazuia
Sasa kama wana ile gas si wataenda kuchoma grill ya dirisha afu wanai gilia drishan
 
Hii ndo komesha ya wezi hata wakifungua makufuli na kupuliza dawa za usingizi hawatofanikiwa kufungua milango
Hii iko vzuri ila ni risk sana endapo ikotokea dharura kama vile moto maana ukitokea moto hivi vyuma vinatanuka (expansion) kwa hyo hutoweza kuvitoa ili upite
 
Mwizi ni mwizi tu ushaifu wako wa nyumba yako ndio anaoutumia hapohapo,ukiweka camera atatumia kila mbinu asionekane
 
wezi wanaibia watu lazima mbinu zao ziwekwe hadharani ili tujue ni namna ipi ya kujikinga na wizi wao, humu ndani kuna watu wataalam wa makufuli, tunawasubiri waje watupe madini
Nakazia tu, TBS nao wakae wakijua wanachoruhusu kwenda kwa walaji sio sawa.
wezi wanaibia watu lazima mbinu zao ziwekwe hadharani ili tujue ni namna ipi ya kujikinga na wizi wao, humu ndani kuna watu wataalam wa makufuli, tunawasubiri waje watupe madini
 
Back
Top Bottom