sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni sawa na kusema uchomwe msitu mzima kumuua nyoka, kumbuka hio gesi ina kazi nyingi tuKujiweka salama ni kuombea vita vya urusi vielendelee ili kuifanya gesi iwe bei juu na kuwa adimu mtaani ili hao vibopa washindwe ku afford
mnafundishana kukwiba sio?
Wezi wanaibia watu lazima mbinu zao ziwekwe hadharani ili tujue ni namna ipi ya kujikinga na wizi wao, humu ndani kuna watu wataalam wa makufuli, tunawasubiri waje watupe madiniYaani leo ni mada za kufundishana jinsi ya kupata mali kwa dhuluma tu.
Hii mada ya pili, nyingine imeelezea jinsi ya kufanya utapeli pasipo kushikwa
Hii mbinu ipo tokea zamanini kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka....
Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi bdiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama manne hivi yalivunjwa kwa huu mtindo,
View attachment 2243527
Uneshauza ramanini kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka....
Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi bdiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama manne hivi yalivunjwa kwa huu mtindo,
View attachment 2243527
Tumefika pabaya ππππ€£π€£π€£ππFunga kengele za ng'ombe kwa ndani hata wakikata kufuli wakifungua mlango utasikia