Wizi mpya wa "kuunganishiwa mabando (GBs)" umeibuka!

Wanatuma sana. Kama unafanya biashara whatsapp utakutana sana na hizo sms. Wengine wanatuma kazi, scholaship nk nk. Sikujua kuwa kuna watu hupigwa.
 
Life mtaani ni gumu ukijichanganya na tamaa zako kupigwa umeme ni sekunde tu.

Airtel wana SME Tigo nao wana ile program yao ya kulipa kwa mwezi watafute hao utakuwa salama nje ya hapo kilio hakiepukiki
Hizo issue zipo kweli, ila Mimi sifanyi promo hapa na wala simconnect yeyote, kuna group maalum la WhatsApp nipo kwa ajili ya mabando tu, unaweza kuona hapa, hili nalithibitisha.



KARIBUNI WATEJA WANGU
HUDUMA ZILIZOPO LEO
(Ttcl, Airtel, Tigo,Halotel, Vodacom)
Contact: 0626716364
Airtel sme Bundle available

📶📶📶📶📶📶📶📶
HALOTEL OFFERS
Muda: Mwez mmoja✅
VIFURUSHI VYENYE GB, DAKIKA NA SMS

1) 6 GB, 550 DKK,600 SMS
Bei 13,000
2) 9. GB , 800 DKK, 700 SMS
Bei 19,000
3). 15 GB, 1100 DKK,
SMS 1000,
Bei 23,000
4) 23 GB, 1400 DKK,
SMS 1000,
Bei 35,000
5). 31 GB, 1000 DKK,
SMS 1000,
Bei 45,000
6). 40 GB, 2000 DKK,
SMS 1000,
Bei 55,000
TIGO OFFERS
📈📈📈📈📈📈📈📈📈
TIGO GB BANDO ZA ZINADUMU MIEZI 2 (SIKU 60)

GB 1 = 1800
GB 2= 3600
GB 3 = 5400
GB 4 = 7200
GB 5 = 9000
GB 7 = 12,600
GB 10 = 18000
GB 15 = 27000
GB 20 = 36,000
GB 25 = 45,000
GB 30 = 54,000

Unga Mara nyingi upendavyooo😁

OKOA GHARAMA
#HATUZIMI DATA#
 
Pole sana mkuu, kiuhalisia hizo bando kweli zipo ila tembelea shop zao kisha watakupa utaratibu wao wanaziita post paid bundles achana na vishoka wa mtandaoni.
Tena kama ni mfanyabiashara na unahitaji kwajili ya wafanyakazi wako let's say watatu au watano bei inapoa kidogo.
🙏
 
😁😁😁😁😁😁😁
Naona uli-apply ule usemi wa dawa ya moto ni moto Mkuu.
Safi sana.
Big up.
 
Ahsante sana kwa ushauri Mkuu.
Itabidi nianye hivyo.
 
Ahsante kwa ofa, lakini mara hii sidanganyiki tena ng'o!
 
Aunge kwanza ndo unatuma pesa.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Wanatuma sana. Kama unafanya biashara whatsapp utakutana sana na hizo sms. Wengine wanatuma kazi, scholaship nk nk. Sikujua kuwa kuna watu hupigwa.
Mkuu, tuendelee kuwasaidia na wengine ili kupunguza idadi ya watu kupigwa.
Binafsi naishukuru sana JF maana imenifumbua macho kwa mengi. Hata hili ni kwa sababu tu nilitaka kuhakikisha kama kweli ni wizi maana kuna kuna nyuzi nyingi humu za kutahadharisha hizi changamoto za wizi wa mtandao. Mfano wake ni JATU, Mr. Kuku, Kalendyla n.k.
 
Ahsante kwa ofa, lakini mara hii sidanganyiki tena ng'o!
Sijakupa offer na wala sifanyi biashara hizo, nilichojaribu ni kuthibitisha hizi mambo zipo na Mimi ni shuhuda lakini mpaka ukutane na watu sahihi.

Na siko hapa kumuunganisha yeyote yule tunashare tu experience.
 
Daah newbie kakutana guru kwenye fani ya utapeli
 
Kwa sababu mimi ni kati ya watu ambao "tulishapigwa" sana japo hatukomi, nikajiongeza kwamba hapa tayari nimeshapigwa

[emoji23][emoji23]
 
Kwamba mnashangaa kwamba mtu anaweza kupata GB 7 kwa buku 5 ?, Hata mtu anaweza akakuunganisha kwa bei chini ya hapo..., Inategemea wanatumia loophole / au wizi wa aina gani Kwahio:-
  1. Uwezekano wa wewe kuunganishwa kwa mb fulani au kupewa backdoor fulani ya kuweza kupata Gbs upo (ila kumbuka hata ukipewa huo ni wizi na wewe na yeye wote ni wezi kwahio kama usipopata au ukipigwa au hio loophole ikizibwa kabla ya wakati usishangae ndio mambo ya ma-deals yalivyo..
  2. Kama kitu fulani kinawezekana na kuna watu wanafanya haimaanishi wote wanafanya wezi wapo kila mahali hata kwenye vitu ambavyo sio vya wizi, hata ukienda kununua nyama huenda mzani umechezewa badala ya 1 kg unapata 9.5 kg
 
Cheap ni gharama.............hayo majina ya namba yako yeye ya nini au mganga huyo??..........kwanza ushangai kampuni wanakulima la shingo harafu yeye mtu baki anatoa ofa.......kaitoa wapi yeye ? Wakati kampuni hawana
 
Ulimpatia kweli manzi huyo aisee huko alipo anajilaumu mpk kesho [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…